Profile cover photo
Profile photo
Nathan Mpangala
53 followers
53 followers
About
Nathan's posts

Post has attachment

Post has attachment
BALOZI JENSEN ATEMBELEA NAFASI ART SPACE
Balozi   wa Denmark Nchini Tanzania Einar  Hebogard  Einar Hebogård Jensen, akibadilishana mawili matatu na wasanii Lutengano Mwakisopile (katikati) na Nathan Mpangala wakati alipotembelea kituo cha sanaa cha Nafasi Art Space, Dar es Salaam leo. Ubalozi wa ...

Post has attachment
JIPATIE FULANA YA MTUKWAO
FULANA zenye kibonzo maarufu cha "Mtukwao" zimetoka. Akizungumza na blogu hii, mchora vibonzo maarufu nchini, Nathan Mpangala alisema ameamua kutengeneza fulana hizo mahsusi ili fedha zitakazopatikana zisaidie programu mbali mbali za taaisisi yake inayojihu...

Post has attachment
MCHORA VIBONZO, NATHAN MPANGALA ALA KIAPO TUZO ZA EJAT 2016
MMOJA wa majaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2016,  Nathan Mpangala  akiapa mbele ya Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo, Dar es Salaam leo huku Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga, akishuhudia. Jopo l...

Post has attachment
WHY ART GALLERIES ARE IMPORTANT
By Jason Landry,  Arts and Music Writer The gallery model, as we know it, is flawed. Dramatic changes have affected how we view, experience and acquire art. Does anyone else see this, and if so, are you concerned with it? People used to get excited to go to...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
WANAFUNZI WAUNGANA NA WACHORAJI KUCHORA MUBASHARA
BAADHI ya wanafunzi waliojitokeza wakifuatilia na kushiriki kuchora wakati kundi la wachoraji la "14 Voices" lilipokuwa likichora mubashara katika bustani iliyo karibu na mnara wa saa katikati ya jiji la Dar es Salaam, jana. Tukio hilo lililenga kuhamasisha...

Post has attachment
WACHORAJI WACHORA MUBASHARA DAR LEO
WASANII wa michoro ya aina mbalimbali wanaounda kundi la "14 Voices," leo walichora mubashara katika bustani iliyo karibu na mnara wa saa katikati ya jiji la Dar es Salaam. Tukio hilo lililenga kuhamasisha taasisi za serikali, taasisi binafsi na jamii kwa u...

Post has attachment
WASANII KUCHORA NA WANANCHI SEHEMU YA WAZI DAR ES ESALAAM LEO
KUNDI la wachoraji la '14 voices', la jijini Dar es Salaam, leo litachora litaungana na wananchi katika eneo la wazi iliyopo mtaa wa Samora karibu na mnara wa saa kuchora michoro mbalimbali ili kutoa hamasa kwa Watanzania kuthamini sanaa ya uchoraji. Aidha,...
Wait while more posts are being loaded