Profile cover photo
Profile photo
Mkala Fundikira
73 followers
73 followers
About
Posts

Post has attachment
BODI YA FILAMU NCHINI YAWATAKA WADAU KUFIKISHA MISWADA YA FILAMU KUKAGULIWA KABLA YA KUIGIZWA.
Bi.Deograsia Ndunguru ambaye ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Sanaa na Habari, Chuo Kikuu Dodoma UDOM, hii leo  akiwasilisha mada kwenye mafunzo ya siku tatu kwa wanatasnia wa filamu na maigizo mkoani Mara, yaliyoanza jana ukumbi wa shule ya Sekondari Mara.  Mafun...
Add a comment...

Post has attachment
MTOTO AWAKIMBIA WAZAZI WAKE JIJINI DAR ES SALAAM KUKWEPA KUKEKETWA
Kamanda wa Polisi Ilala, Salum Hamdun Na Dotto Mwaibale MTOTO mwenye  umri wa miaka 12 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kivule Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam jina lake linahifadhiwa ameelezea jinsi alivyofanikiwa kuwatoroka wazazi wake ili as...
Add a comment...

Post has attachment
SUALA LA UKEKETAJI MKOANI MARA BADO NI PASUA KICHWA.
> Baadhi ya wasichana wakitoka kukeketwa wilayani Tarime mkoani Mara, kumbuka mwezi Disemba, kila baada ya miaka miwili, ni msimu wa ukeketaji na tohara kwa baadhi ya Koo za Wakur ya      BMGHabari Pamoja na juhudi za Serikali, Wanaharakati na Watetezi wa h...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Amana Bank FC yaichabanga Dar community bank mabao 8-1!
Kikosi cha Amana FC ikiwa tayari kwa mchezo hapo juzi. Timu ya mpira wa miguu ya Amana Bank FC juzi iliichabanga timu ya Dar Community Bank mabao 8-1 katika mchezo wa mashindano ya mabenki yanayoendelea katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Katika m...
Add a comment...

Post has attachment
Mkurugenzi wa Amana bank afunga wiki ya huduma kwa wateja tawi la Mwanza!
Mkurugenzi wa benki ya Amana  Dk Muhsin Masoud  akimkabidhi  zawadi mteja Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza. Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika tawi la Mwanza mkurugenzi wa benki hi...
Add a comment...

Post has attachment
Benki ya Amana yazindua wiki ya huduma kwa wateja baada ya kutimiza miaka minne!
Mteja wa muda mrefu wa bemki ya Amana Bw Masoud Khalfan ambaye akizindua wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Main la benki ya Amana jijini Dar ka kukata utepe. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud, Kulia ni mkuu wa idara ya masoko...
Add a comment...

Post has attachment
INTRODUCING NEW MOVIE ; MAISHA NI SIASA
MAISHA NI SIASA is a political film that tells a story of sacrifice, patriotism, loyalty, heroism, challenges and the role that bloggers and social media activists play in post­ independent African politics and ongoing democratization process.  Produced by ...
Add a comment...

Post has attachment
DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenyekiti wa Wilaya ya Chama c...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded