Profile cover photo
Profile photo
dunia ya maajabu
9 followers
9 followers
About
Posts

Post has attachment
MWAKYEMBE AFUNGUKA MAZITO BIFU LA MONDI NA SHONZA
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa amesikitishwa na matamshi ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wakati akihojiwa na mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy, kwa hatua ambazo Wizara inachukua kul...
Add a comment...

Post has attachment
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONDO, KIGOMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakondo, Mkoani Kigoma, kupitia kibali cha Ajira anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiliwa katika Utumishi wa Umma kuleta maombi ya kazi kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji kama ifua...
Add a comment...

Post has attachment
TAARIFA JUU YA KESI YA NONDO NA HATIMA YAKE
Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi, Abdul Nondo Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi, Abdul Nondo amerudishwa mkoani Iringa na kufikishwa Mahakama ya Wilaya. Awali Nondo alitolewa Iringa baada ya mahojihano na Polisi na kupelekwa Dar kwa Mkurugenzi wa Upelele...
Add a comment...

Post has attachment
**
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo  Mchezaji anayelengwa na klabu ya Manchester United Milan Skriniar, 23, anasema kuwa anafurahia kusalia Inter Milan .Ria huyo wa Slovakia pia ameivutia Barcelona . The Slovakian also interests Barcelona. (star)a...
Add a comment...

Post has attachment

Post has attachment
HTIN KYAW AMEJIUZULU URAIS NCHINI MNYANMAR
Kiongozi wa Myanmar mwenye mamlaka Aung Suu kyi na rais wa taifa hilo Htin Kyaw kulia Rais wa Myanmar Htin Kyaw amejiuzulu, kulingana na afisi yake. Hakuna sababu ilitolewa lakini kumekuwa na wasiwasi katika miezi ya hivi karibuni kuhusu afya ya rais huyo m...
Add a comment...

Post has attachment
MAGAZETINI : SAMIA-NINA ORODHA YA POLISJ WAHALIFU
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Enter your email address: Delivered by EDUSPORTSTZ Subscribe to EDUSPORTSTZ
Add a comment...

Post has attachment

Post has attachment
ALIYOFUNGUKA MANAWATER KUHUSU UJIO MPYA WA ALIKIBA
Msanii mkongwe wa muziki wa BongoFleva-Alikiba Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa BongoFleva, Man Water amefunguka na kuwahakikishia mashabiki wa Alikiba kuwa kuna ngoma mpya imeshafanyika mpaka 'video' na muda wowote kutoka sasa inaweza kuachiwa ili kuvunja...
Add a comment...

Post has attachment
ALIYOFUNGUKA MANAWATER KUHUSU UJIO MPYA WA ALIKIBA
Msanii mkongwe wa muziki wa BongoFleva-Alikiba Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa BongoFleva, Man Water amefunguka na kuwahakikishia mashabiki wa Alikiba kuwa kuna ngoma mpya imeshafanyika mpaka 'video' na muda wowote kutoka sasa inaweza kuachiwa ili kuvunja...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded