Profile cover photo
Profile photo
Arusha Publicity
10 followers
10 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Angelina Madete, akizungumza wakati akiifungua warsha ya kimataifa ya wanachama wa Umoja wa Posta Afrika kwa nchi zinazozungumza Kiingereza, ilioanza jijini Arusha katika ukumbi wa mik...

Post has attachment
Uchumi : KIGAMBONI KINARA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI
 Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akizungumza na
Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Mikoa na Halmashauri nchini
kabla ya kutoa Tuzo kwa Mikoa na Halmashauri zilizofanya vizuri katika
kuwawezesha wanawake kiuchumi.  
Katibu...

Post has attachment
MAKAMU WA RAIS AONGOZA MATEMBEZI YA HISANI KWA AJILI YA KUSOMESHA WAUGUZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Ssuluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mh.Ummy Mwalimu, huku wakitembea mapema ,wakati akiongoza a matembezi ya hisani kwa ajili ya kusomesha Wauguzi Wakunga , matembezi hayo ya kilome...

Post has attachment
UMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WAANZA KUTANGAZA UTALII WA NDANI KUSINI MWA TANZANIA KWA NJIA YA RELI YA TAZARA
Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA hasa wa mikoa ya kusini mwa Tanzania ambao umekuwa ukisahaulika. Kampeni hiyo imeandaliwa na Umoja wa Vijana...

Post has attachment
MOHAMMED DEWJI APONGEZA JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI KUFUFUA VIWANDA
Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji akizungumza katika mkutano wa Global Business Forum 2017 kuhusu Viwanda kwa Nchi za Afrika, mkutano huo wa siku mbili umefanyika Dubai, UAE na kuhudhuriwa n...

Post has attachment
UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.
Baadhi ya Wanahabari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza,alipokuwa akizunguma nao mapema leo jijini Dar, ,wakiunga mkono kampuni ya Msama Auction Mart pamoja na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kazi nzito wanayoifanya ya kukamata Walanguzi wa kazi...

Post has attachment
Wakulima wa Matunda Njombe Kujengewa Uwezo
Mkulima wa kupigiwa mfano wa kilimo cha Maparachichi Mkoani Njombe, Bw. Reuben Mtitu (kulia) akizungumza na Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) walipomtembelea shamba lake mkoani Njombe kujionea maendeleo ya miradi iliyokopeshwa na Ben...

Post has attachment
MAJABA ALIVYOPOKELEWA KWENYE NYUMBA YAKE BUNJU B JIJINI DAR
Nyumba iliyopo Bunju B ilivyokuwa kabla ya makabidhiano jana. Mkurugenzi wa Mkuu wa Global Group, Eric Shigongo (wa kwanza kulia) na George Majaba (wa pili kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho wakijadiliana jambo. ... Shigongo akizungumza...

Post has attachment
PTA BANK BECOMES TDB - WITH INCREASED COMMITMENT FOR FUNDING IN EASTERN AND SOUTHERN AFRICA
Trade and Development Bank (TDB), Principal Project and Infrastructure Finance Officer, Neema Siwingwa (right), addresses a press conference in Dar es Salaam yesterday to announce the changes of its trade name which were former known as Eastern and Southern...

Post has attachment
JUMIA TANZANIA WAZINDUA KAMPENI YA SIKU YA BLACK FRIDAY KWA MIKOA SITA
Meneja Mauzo wa Jumia Tanzania, Iddy Mkumba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Black Friday utakaoweza kutoa punguzo la asilimia 70 kwa bidhaa atakayoinunua mteja kupitia tovuti ya Jumia Tanzania itakayoanza mwezi wa Novemba 24 hadi Dese...
Wait while more posts are being loaded