Profile cover photo
Profile photo
Othman Michuzi
4,011 followers
4,011 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
BILIONI 2 ZIMEKWISHATOLEWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Mtwara SERIKALI Kupitia Benki ya kilimo Tanzania(TADB) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kwa wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma katika malipo ya kundi la kwanza la watu ambao wamehakikiwa kupitia vyama...
Add a comment...

Post has attachment
POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani ,linamtafuta mwanamke ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto  wake Halima Ramadhani (5) kwa tuhuma za kuunguza pazia la chumbani. Kamanda wa polisi mkoan...
Add a comment...

Post has attachment
TCRA YAWATAKA WAUZA RUNINGA NA MAFUNDI SIMU KUJISAJILI KWENYE MAMLAKA HIYO
Na Ahmed Mahmoud Arusha Mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA)imewataka wale wote wenye kuuza bidhaa za mawasiliano ikiwemo simu za mkononi,Radio na Runinga kuhakikisha wanajisajili kwao ili wananchi wapate huduma zilizo sahihi na kuondoa malalamiko kutopata...
Add a comment...

Post has attachment
MAGUNIA 45 YA KOROSHO YAKAMATWA PWANI YAKISAFIRISHWA -WANKYO
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani wanalishikilia lori dogo kwa tuhuma za kukutwa na korosho magunia 45 yenye uzito wa kilogramu 81 . Korosho hizo zinadaiwa zilikuwa zikisafirishwa kwenda kwenye chama cha msingi cha ushirika kinyume na agi...
Add a comment...

Post has attachment
MGOYI:SERIKALI IMEJENGA MAZINGIRA YA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA MAPINDUZI YA VIWANDA
Na  Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Mikumi Serikali imejenga mazingira kwa vijana kupitia mapinduzi ya viwanda  kwa  serikali ya awamu ya Tano chini Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo ndio suluhisho ya vijana wenye ujuzi kutumika katika viwanda hivyo.  Hayo...
Add a comment...

Post has attachment
VIJIJI VYOTE NCHINI KUPATIWA HUDUMA ZA MAJI SAFI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaamesema Serikali imedhamiria kuhakikisha wananchi wote wakiwemo wa wilaya ya Nachingwea wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na makazi yao, hivyo amewataka wananchi waendelee kuiamini. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Novemb...
Add a comment...

Post has attachment
MAKAMU WA RAIS AZINDUA JESHI USU LA WANYAMAPORI NA MISITU ENEO LA FORT IKOMA SERENGETI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wadau wote wa uhifadhi hususan jeshi letu USU kuhakikisha kuwa wanatekeza kwa azma moja nia njema ya Serikali ya kuhakikisha usalama wa maeneo yaliyotengwa kwa ajili y...
Add a comment...

Post has attachment
MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA BABATI MJINI MKOANI MANYARA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameutaka Uongozi wa mkoa wa Manyara kutumia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya maji. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo mjini Babati akiwa kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha s...
Add a comment...

Post has attachment
HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA 13 WA BUNGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge jijini Dodoma, Novemba 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) UTANGULIZI         Mheshimiwa Spika,  awali ya yote, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa ...
Add a comment...

Post has attachment
Hatutamvumilia mtumishi atakayekuwa chanzo cha upotevu wa mapato serikalini – Nyongo
Na Rhoda James- Morogoro Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amewaeleza wahasibu wa madini nchini kuwa wizara haitamvumilia mtu yeyote ambaye atakuwa chanzo cha upotevu wa ukusanyaji wa mapato ya Serekali.  Nyongo ameyasema hayo wakati akifunga Mafunzo...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded