Profile cover photo
Profile photo
Badru Kimwaga
52 followers
52 followers
About
Badru Kimwaga's interests
Badru Kimwaga's posts

Post has attachment

Post has attachment
Sanchez, Lukaku, Zlatan vita kali PFA
Lukaku NYOTA wa Arsenal, Alexix Sanchez na yule wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, watachuana kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Chama cha Soka cha Wachezaji wa Kulipwa nchini England, (PFA) Mbali na wakali hao wanaochuana kwa kufumania nyavu katika Li...

Post has attachment

Post has attachment
Viongozi DRFA warejea tena DRFA
Na Rahim Junior SEHEMU kubwa ya uongozi uliokuwepo kwenye Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), akiwamo Mwenyekiti Almas Kasongo na Katibu Mkuu wake, Msanifu Kondo wamerejea madarakani baada ya kushinda kwenye uchaguzi uliofanyika leo. Uchaguzi huo u...

Post has attachment

Post has attachment
Yanga wawafuata Waalgeria kwa mafungu
MABINGWA wa Soka nchini, Yanga wameondoka nchini kwa mafungu kundi la kwanza likitimka jioni hii na jingine linatarajiwa kuondoka usiku huu ili kuwahi pambano lao la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MC Alger ya Algeria. Kundi la kwanza lilitimka saa 10 l...

Post has attachment

Post has attachment
Algeria yamteua Kocha Mkuu Mpya
CHAMA cha Soka cha Algeria, kimemteua Lucas Alcaraz kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo maarufu kama Mbweha wa Jangwani, ikiwa ni mara ya nne kufanya hivyo katika kipindi cha miezi 13 iliyopita. Alcaraz raia wa Hispania alitimuliwa Jumatatu iliyop...

Post has attachment

Post has attachment
Mbeya City ikiibana Lyon, Pazi kama kawa
BAO la kipindi cha pili lililofungwa na Thomas Morris limeisaidia African Lyon kuepuka kipigo mbele ya Wakali wa Green Town, Mbeya City baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye pambano la Ligi Kuu Bara lililochezwa jioni ya leo Alhamisi. Katika pambano hilo l...
Wait while more posts are being loaded