Profile cover photo
Profile photo
Mlekani Cosmas
1 follower
1 follower
About
Mlekani's posts

Post has attachment
Cosafa yamuunga mkono rais wa soka madagascar kumpinga Hayatou katika urais wa Caf Machi
JOHANNESBURG, Afrika Kusini BARAZA la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) limesema litamuunga
mkono Ahmad Ahmad (pichani) katika uchaguzi ujao wa kiti cha urais katika Shirikisho la
Soka la Afrika (Caf). Ahmad, ambaye kwa sasa ni kiongozi wa Chama cha...

Post has attachment
Hatimaye Chama cha Tenisi chapata viongozi wapya, Mwasanga Katibu Mkuu wake mpya
Na Gilbert Peter MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Kamati ya Olimpiki
Tanzania, Irene Mwasanga ameshinda ukatibu mkuu wa Chama cha Mpira wa Meza
Tanzania (TTA). Katika uchaguzi huo mkuu uliofanyika jana kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Mwasanga am...

Post has attachment
mashabiki wa soka 17 wauawa katika vurugu za soka uwanjani Angola
LUANDA Angola ANGALAU watu 17 wameuawa baada ya kukanyagana kwenye Uwanja wa Soka
kaskazini ya mji wa Angola wa Uige, imeelezwa. Mamia ya mashabiki waliripotiwa kuumia walipovunja geti baada ya kutaka
kuingia uwanjani kwa nguvu baada ya kuzuia. Baadhi yao w...

Post has attachment
Mwandishi Arnold Swai aliyekufa kwa ajali azikwa kwao Hai, Kilimanjaro
Na Mwandishi Wetu VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika kijiji cha Mbweera,
Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wakati wa mazishi ya Mwandishi wa gazeti la
Habarileo, Arnold Swai (28) anayetajwa kuwa ni "Nyota iliyong'aa na
kuzimika ghafla". Swai al...

Post has attachment
Simba yapania kuifunga Tanzania Prisons leo na kuiondoa Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu
Na Mwandishi Wetu SIMBA leo ina nafasi ya kuiengua Yanga kileleni katika msimamo wa Ligi
Kuu Tanzania Bara, endapo itaifunga Tanzania Prisons katika mchezo
utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wekundu hao wa Msimbazi wanahitaji ushindi kwa n...

Post has attachment
Mashindano netiboli Afrika Mashariki kuanza Nairobi, Kenya Aprili 23
Mwenyekiti wa Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta), Annie Kibira Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya netiboli ya Afrika Mashariki yatafanyika jijini Nairobi,
Kenya kuanzia Aprili 23 hadi 30, imeelezwa. Tanzania katika mashindano hayo itawakilishwa na Uhamiaji,...

Post has attachment
Majimaji yashindwa kuilowesha Simba yachapwa mabao 3-1 na kuikaribia Yanga kileleni
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Simba jana ilifanya kweli baada ya kuibuka na ushindi mzito wa
mabao 3-0 dhidi ya Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
uliofanyika mjini hapa. Kwa ushindi huo, wekundu hao wa Msimbazi wamebakisha pointi moja k...

Post has attachment
Chelsea yaikandamiza Arsenal 3-1, yazidi kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu England
Kiungo wa  Arsenal, Mesut Ozil akipiga mpira wakati wa mchezo wa
Ligi Kuu ya England uliofanyika leo dhidi ya Chelsea katika Uwanja wa
Stamford Bridge mjini London. Chelsea imeshinda mabao 3-1. LONDON, England MATUMAINI ya Arsenal ya kushinda taji la Ligi...

Post has attachment
Serengeti Boys yashinda rufaa yake sasa kucheza fainali za afcon 2017
CAIRO, Misri KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) limeirejesha
Tanzania kushiriki katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana
wenye umri chini ya miaka 17 baada ya kushinda rufaa yake. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilimk...

Post has attachment
Kocha ghana asikitikia kufungwa na Cameroon, akisifu kikosi chake cha Afcon 2017
LIBRAVILLE, Gabon AVRAM Grant hawezi kuficha huzuni yake baada ya Ghana (pichani) kufungwa mabao 2-0
na Cameroon katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika juzi,
lakini anasisitiza kuwa mashindano yalikuwa mazuri kwa Black Stars. Hiyo iliku...
Wait while more posts are being loaded