Profile cover photo
Profile photo
Mtalula Mohamed
61 followers
61 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
Kilimo cha matikiti huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile haihitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa. Hali ya udongo katika kipimo cha pH iwe kati ya 6.0 na 7.0. Ingawa mmea una uwezo vile vile wa kuhimil...
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
mogriculture.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
Kilimo cha matikiti huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile haihitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa. Hali ya udongo katika kipimo cha pH iwe kati ya 6.0 na 7.0. Ingawa mmea una uwezo vile vile wa kuhimil...
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
Kilimo Cha Matikiti Maji Kisasa
mogriculture.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Fahamu Mambo Mawili Kabla Hujaanza Kilimo
Jumatatu iliyopita nilikuandikia nilikuandikia makala inayokufahamisha Kilimo bora cha zao la muhogo lakini leo nimekuletea kitu cha tofauti kidogo. Unapoanzisha mradi unatarajia mwisho wa siku uumalize kwa kupata faida, sasa basi leo nataka nikufahamishe m...
Add a comment...

Post has attachment
Muongozo wa Kilimo Bora Cha Muhogo
Mihogo inaweza kuanza kuvunwa baada ya miezi 9 – 12 tangu kupandwa. Inashauriwa kuvuna katika katika kipindi cha jua kwani wakati wa mvua kiwango cha wanga kwenye muhogo hupungua. Ndugu msomaji habari yako na karibu tena katika muendelezo wa mafunzo yetu ya...
Muongozo wa Kilimo Bora Cha Muhogo
Muongozo wa Kilimo Bora Cha Muhogo
mogriculture.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Zifahamu mbegu bora mpya za mahindi zilizothibitishwa
Ndugu mkulima, ili ufanye kilimo bora na cha kisasa cha mahindi , Mogriculture Tz inakuasa ku achana
na matumizi ya mbegu za kienyeji, kwani mbegu za kienyeji zina mavuno
madogo sana na zinachukua muda mrefu sana kukomaa na nyingi
zinashambuliwa sana na ...
Add a comment...

Post has attachment
Mambo Manne Unayotakiwa Kuyafanya Ili Kujua Thamani Ya Mazao Yako Na Kupanga Bei Yenye Faida
Mkulima ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote ni mtu anayelenga faida kubwa au hasara kidogo. Kwa hiyo ni muhimu kwa mkulima kujua thamani ya mazao yake ili... Habari za kazi ndugu yangu na karibu tena katika muendelezo wa makala zetu za kilimo cha ki...
Add a comment...

Post has attachment
Je unamfahamu mdudu huyu hatari kwa maharage?
Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula vitumba na maua, na kuingia ndani ya mifuko ya maharage na kuacha tundu kwenye mfuko wa maharage na kula mbegu.  Habari na ...
Add a comment...

Post has attachment
Kilimo Bora Cha Maharage
Zao la maharage linapendwa na wakulima wengi kwa sababu kwanza linachukua mda mfupi kukomaa, pili halina gharama kubwa katika uzalishaji wake na tatu lina bei nzuri sana sokoni karibu nyakati zote hata wakati wa mavuno (yaani msimu wake). Nimepata maombi me...
Kilimo Bora Cha Maharage
Kilimo Bora Cha Maharage
mogriculture.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Agronomists - Quality Food Product Ltd: QUALITY FOOD PRODUCT Ltd, is looking for AGRONOMISTS knowledgeable person in cereals, oil seeds and leguminous plants. The knowledge base starts from the understanding of soil, plants nutrition and disease management, ....Read more » #AGRICULTURE
Add a comment...

Post has attachment
Agronomists - Quality Food Product Ltd
QUALITY FOOD PRODUCT Ltd, is looking for AGRONOMISTS knowledgeable person in cereals, oil seeds and leguminous plants. The knowledge base starts from the understanding of soil, plants nutrition and disease management, .... Introduction QUALITY FOOD PRODUCT ...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded