Profile cover photo
Profile photo
Said Powa
233 followers
233 followers
About
Communities and Collections
Posts

Post has attachment
WANAHARAKATI WAJUMUKA.
Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali Kivulini Hassan Ally akielezea juu ya mradi wa we can ambao unalenga kuondoa changamoto ya unyanyasaji wa kijinsia . Mtaalamu wa mitandao ya kijamii kutoka Shirika la Oxfam Bill Marwa aki...
WANAHARAKATI WAJUMUKA.
WANAHARAKATI WAJUMUKA.
saidpowa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
UDART YAINGIZA NCHINI MABASI MAPYA 70 KUONGEZA NGUVU YA USAFIRISHAJI ABIRIA JIJINI DAR ES SALAAM
 Maofisa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) wakishuhudia wakati mabasi ya Kampuni  ya usafiri wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam (UDART) yalipokuwa yakishushwa kutoka katika meli jijini Dar es Salaam leo hii asubuhi. Jumla ya mabasi 70 yalipoke...
Add a comment...

Post has attachment
BOT YAPIGA MSASA WAANDISHI.
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Julian Raphael Banzi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha kwa waandishi wa habafri za Uchumi, Biashara na Fedha, mkoani Mtwara leo Februari 5, 2018. NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mtwara WAANDISHI
wa Habari za...
BOT YAPIGA MSASA WAANDISHI.
BOT YAPIGA MSASA WAANDISHI.
saidpowa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
PROMOSHENI YA WESTERN UNION YAFANYIKA JIJINI DAR.
Farida Kibangu akiwa amefungwa kitambaa usonii akionyesha karatasi ya mshindi  wakati   wa kuchezesha droo ya kwanza ya promosheni ya Western Union inayoendeshwa na benki TPB.   Mkurugenzi waTeknohama na Uendesh aji wa Benki ya TPB, Jema Msuya, akisoma kupo...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIJIBU MASWALI BUNGENI.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Add a comment...

Post has attachment
WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO.
Mwezeshaji kutoka TGNP Mtandao, Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019    na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyokuwa ...
Add a comment...

Post has attachment
FUNGA MWAKA NA DStv imewadia.
Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria akizungumza wakati wa kutangaza rasmi ofa ya Funga Mwaka na DStv ambapo wateja wapya wa DStv wataweza kujiunga kwa shilling 79,000 tu na kupata kifurushi cha mwezi mzima bure. Ofa hiyo itadumu kwa miezi miwil...
FUNGA MWAKA NA DStv imewadia.
FUNGA MWAKA NA DStv imewadia.
saidpowa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
PSPF YATEMBELEA WANACHAMA WAKE.
NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said WANACHAMA
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambao ni wastaafu, wameupongeza Mfuko huo kwa
kupata pensheni za kila mwezi kwa wakati. Wakizungumza
kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara ya viongozi wa PSPF
kutembelea ...
PSPF YATEMBELEA WANACHAMA WAKE.
PSPF YATEMBELEA WANACHAMA WAKE.
saidpowa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Watumishi wa Mungu wa More International Ministry ya Marekani wako jijini Mwanza.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella akizungumza na wageni/ watumishi wa Mungu kutoka taasisi ya More International Ministry ya Marekani ikiongozwa na Mwinjilisti Rojas Matias, walipomtembelea ofisini kwake jana.  Watumishi hao walikuwa na mkutano mkub...
Add a comment...

Post has attachment
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA TIGO.
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) akisaidiana na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti kutoa huduma kwa Happiness Muthali wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded