Profile cover photo
Profile photo
Salmin j Salmin
29 followers
29 followers
About
Salmin j's posts

Post has attachment
APEWA ADHABU YA KUFANYA USAFI BAADA YA KUSHINDWA KUWAJIBIKA KAZINI.
MKURUGENZI
wa Baraza la mji wa Wete kisiwani Pemba, Philipo Joseph Ntonda, amelazimika
kumpa adhabu ya kufanya usafi katika maeneo ya bustani ya Jamhuri Afisa wa
usafi na michirizi Ali Mohamed Rashid, baada ya kushindwa kutekeleza majukumu
yake ya kazi. Adh...

Post has attachment
Senegal yasema lazima Yahya Jammeh aachie madaraka
  Jeshi
la Senegal limesema kuwa majeshi ya Afrika Magharibi yataingilia suala la
Gambia usiku wa kuamkia tarehe ya mwisho wa madaraka ya Rais Yayha Jammeh ili
akabidhi madaraka kwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanywa mwezi uliopita. Vikosi
kutoka Senegal v...

Post has attachment
Serikali kusimamia lishe kufuta udumavu nchini
  SERIKALI imesema pamoja na kwamba bado
kunaonekana kuna udumavu wa watoto katika maeneo mengi nchini, lakini takwimu
zinaonesha kwamba udumavu umepungua kutoka asilimia 42 mwaka 2010 hadi asilimia
34 mwaka 2015. Aidha imesema kutokana na changamoto ya udu...

Post has attachment
Mwanzilishi wa Jamii Forums Jana Hakufikishwa Mahakamani.......Polisi Walivamia Ofisi zake na Kufanya Upekuzi Seebait.com 2016
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam  limevamia ofisi za mtandao wa Jamii Forums (JF) na kufanya upekuzi na  kuondoka  na  nyaraka za usajili wa Jamii Media ikiwemo cheti cha mlipa kodi, cheti cha BRELA, leseni ya biashara, n.k.. Askari hao waliva...

Post has attachment
Dk. Shein, amtumia salamu za rambi rambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
Katika salamu hizo za rambi rambi, Dk. Shein alieleza kuwa amepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Bregedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki, Kamanda wa Brigedia ya Nyuki Zanzibar, kilichotokea jana katika Hospitali ya Jeshi la Wananachi wa Tanzania, Lugaga...

Post has attachment
Kanali wa JWTZ aeleza sababu za kuteuliwa na CCM kuwa Katibu wa NEC , Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Kanali Ngemela Lubinga (katikati), kulia ni Msaidizi wa Kanali Lubinga, Meja Joseph Masanja na kushoto ni Kapteni Swaleh Omar.  ** Wakati watu mbalimbali wakiwa na maoni tofauti kuhusu Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Halmashauri Kuu yake kumteua Kanali ...

Post has attachment
Baba Achinja Wanawe Wawili na Kisha Kujinyonga
Watoto  wawili wenye umri wa miaka mitatu na sita wa Kijiji cha Patane Kata ya Mambamiamba wilayani Same,  wameuawa kwa kuchinjwa na panga na baba yao mzazi Yohana Greson (26) na yeye mwenyewe kujining’iniza kwenye paa la nyumba. Akitoa taarifa kwa vyombo v...

Post has attachment
Polisi yaonya kutojitangazia ushindi kabla ya matokeo.
Polisi mkoani Shinyanga imewaonya wafuasi wa vyama vya siasa ambao wamekuwa wakijitangazia ushindi mapema kabla ya uchaguzi kufanyika, hali ambayo imekuwa ikionyesha kuwapo kwa viashiria vya uvunjifu wa amani siku ya kupiga kura endapo matarajio yao ya mato...

Post has attachment
TBS: Viwango vya ubora iwe lugha ya mawasiliano.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, amewaomba Watanzania watumie viwango vya ubora vilivyopitishwa na shirika hilo kuwa lugha ya mawasiliano katika biashara na maisha yao kwa ujumla. Alitoa ombi hilo Dar es Salaam juzi n...

Post has attachment
Kesi Ya Kukaa Mita 200 Ni Kaa La Moto.......Mawakili Watoana Jasho Kwa Vifungu Vya Sheria. Mahakama Kutoa Maelekezo Leo
Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya walalamikaji katika kesi inayohusiana na umbali wa mita 200 ...
Wait while more posts are being loaded