Profile cover photo
Profile photo
Siasa Huru
5 followers
5 followers
About
Siasa's posts

Post has attachment
Uchunguzi Mpya wa Escrow Wakamilika, Vigogo Matumbo Joto
UCHUNGUZI mpya kuhusu kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti Maalumu ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), umekamilika. Uchunguzi huo umefanywa na jopo la wataalamu wanne waliobobea katika masuala ya ...

Post has attachment
Bashite Kaa la Moto Bungeni
Dodoma.  Wabunge wa CCM wameitaka Serikali kutoa majibu sahihi bungeni kuhusu utambulisho wa mtu aitwaye Daudi Bashite. Sakata hilo liliibuka juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kilichoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini hapa. Wabunge tofauti wal...

Post has attachment
Jakaya Kikwete Asimamisha Bunge Kwa Dakika 10..Wabunge Walipuka Kwa Shangwe
Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10  mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi. Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bunge...

Post has attachment
Kimenuka: Wasira Amshukia Lissu Kwa Mambo Manne
Rejea Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa Wasira ajibu:  Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amemshukia Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa mambo manne. Moja ya mambo ambayo Wasi...

Post has attachment
The Guardian: Bombardier Zilinunuliwa Bila Kuwa na Business Plan
ATCL now seeks business plan after $500m aircraft purchase The move comes several months after the government purchases new planes for the flag carrier without a long-term business blueprint. THE government has spent close to $500 million (over 1 trillion s...

Post has attachment
Kauli Walizotoa Viongozi Kumi Kuhusu Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya
“Katika vita hii ya madawa ya kulevya, hakuna cha mtu aliye maarufu, hakuna mwanasiasa, hakuna askari, hakuna waziri au mtoto wa fulani ambaye akijihusishwa aachwe. Hata kama angekuwa mke wangu Janeth, akijihusisha shika.” Paul Makonda (Mkuu wa Mkoa, Dar es...

Post has attachment
Serikali Kupiga Marufuku Pombe za Viroba....
Serikali inatarajia kupiga marufuku utengenezaji na uingizaji wa pombe za bei rahisi maarufu kama “Viroba” Nchini, ndani ya miezi mitatu ijayo. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla ameyasema hayo leo Bung...

Post has attachment
Serikali Kuwashushia Rungu Mashoga Vinara
Wakati wauza unga wakihaha kutafuta sehemu za kujificha kuukwepa moto wa mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, siku za mashoga vinara nazo zimeanza kuhesabika. Vita dhidi ya mashoga hao imetangazwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi ...

Post has attachment
Vita dhidi ya dawa za kulevya: Makonda atoa siku 10 kwa wahusika kujisalimisha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 10 kwa wenyeviti wa mtaa mkoani kwake kuwataja watu wanaowahisi wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Wito huo pia ni kwa watu wote wanaohusika kwenye biashara hiyo haramu pamoja na wazazi ku...

Post has attachment
Halima Mdee Amtetea Wema, Mlizunguka Naye Miezi 3 Kwenye Kampeni Hamkujua Anatumia Unga?
Wabunge wa upinzani Jumatatu hii wameikosoa vikali njia aliyoitumia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa kuwajumuisha mastaa wakiwemo Wema Sepetu kwenye orodha yake. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amed...
Wait while more posts are being loaded