Profile cover photo
Profile photo
Seetheafrican Editor
381 followers
381 followers
About
Posts

Post has attachment
UMEIPATA HII YA RONADINHO GAUCHO KUSTAAFU SOKA
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya
Brazil na klabu za PSG, Barcelona na Ac Milan Ronaldo de Assis Moreira
Maarufu kama Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza soka la kiushindani toka mwaka 2015 amekuwa akicheza michezo ya mabonanza...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS WA TANZANIA JOHN MAGUFULI AMEPIGA MARUFUKU AINA ZOTE ZA MICHANGO
Rais wa Tanzania John Magufuli amepiga marufuku aina zote za michango
shule za Msingi na Sekondari za Serikali, amewaagiza Mawaziri Prof.
Joyce Ndalichako na Selemani Jafo kusimamia agizo hilo.
Add a comment...

Post has attachment
POLISI YAKANUSHA TAARIFA UPIGAJI MARUFUKU VIMINI
Polisi nchini Tanzania, imekanusha
taarifa zilizoenea kwamba imepiga marufuku uvaaji wa nguo fupi au
'miniskirt' na vile vile nguo zinazobana. Kamanda wa polisi Mkoa wa Dar
es Salaam Lazaro Mambosasa amesema taarifa hizo ambazo zimeandikwa
katika moja...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMTEUA NDUGU ALPHAYO KIDATA KUWA BALOZI.NDUGU ALPHAYO KIDATA KUWA BALOZI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua ndugu Alphayo Kidata kuwa balozi.Ndugu Alphayo Kidata amewahi kuwa Kamishna Mkuu wa TRA na baadaye
kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu katika hiki cha miaka 2 ya Rais John
Pombe Magufuli.
Add a comment...

Post has attachment
TAARIFA YA UHALALI WA KAMPUNI YA AIRTEL YATUA KWA RAIS MAGUFULI
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa
ya Kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Add a comment...

Post has attachment
KANISA LA MHUBIRI ANAYETENGEZA 'FEDHA ZA MIUJIZA' LAFUNGWA BOTSWANA
Taifa la Botswana limelifunga kanisa la muhibiri mmoja wa Malawi mwenye utata anayedaiwa ''kutembea angani''. Serikali
ilithibitisha kufungwa kwa kanisa la Bushiri la Christian Gathering
Church ECG mjini Gaborone mara kadhaa kutokana na wasiwasi kuhusu
'...
Add a comment...

Post has attachment
MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA YANASWA UGIRIKI
Maafisa wa Ugiriki wanaoshika doria
baharini wamesema wanaizuilia meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya
Tanzania ambayo ilikuwa imebeba vilipuzi. Meli hiyo inadaiwa
kusafirisha vilipuzi hivyo kutoka Uturuki kwenda Libya, kinyume na
marufuku iliyowekwa ...
Add a comment...

Post has attachment
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI JOHN KIJAZI APOKEA KWA NIABA YA RAIS KANUNI ZA SHERIA YA MADINI NAMBA 7 YA MWAKA 2017
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akimpa muhtasari Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kabla ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliy...
Add a comment...

Post has attachment
JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo.  Marehemu Mama Peras Ngombale Mwir...
Add a comment...

Post has attachment
HIKI NDICHO KILICHO JIRI BAADA KAMPUNI YA MAVAZI KUTUMIA UJUMBE KWENYE MAVAZI WENYE KUONYESHA UBAGUZI WA RANGI
Wasanii na wachezaji mashuhuri
duniani wamekosoa hatua ya kampuni ya mavazi na mitindo ya H&M
kuweka tangazo la mvulana mweusi akiwa amevalia fulana yenye ujumbe
ambao umefasiriwa kuwa wa ubaguzi wa rangi. Fulana hiyo ya rangi ya kijani ilikuwa na ujumbe...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded