Profile cover photo
Profile photo
Martin Malecela
202 followers
202 followers
About
Posts

Post has attachment
KUSUDI lililo FICHIKA
“ 5Na tazama, Sauli akaja akifuata ng’ombe
kutoka kondeni; naye Sauli akauliza, Watu hawa wana nini, hata wakalia?
Wakamwambia maneno ya watu wale wa Yabeshi ” (1 Samweli 11:5).     Kila mtu
amezaliwa na KUSUDI tayari, ila HATMA yako ni wajibu wako kuiFIKIL...
Add a comment...

Post has attachment
PICHA MAARUFU YA SAFARI YA MSAFIRI
Je umewahi kuangalia filamu maarufu ya safari ya msafiri? angalia hii hapa kwa lugha ya kiswahili KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela ...
Add a comment...

Post has attachment
ANGLE BERNARD
WIMBO MPYA KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
SOMO : UZAZI WA MPANGILIO
MALENGO 1.       Utangulizi 2.       Jinsi ya kupata ujauzito 3.       Jinsi ya kuzuia mimba 4.       Kuhesabu Kalenda 5.       Lini tuanze tendo la ndoa baada ya
kujifungua 6.       Faida za uzazi wa mpangilio 7.       Uzazi unapochelewa Utangulizi MWZ 1:2...
Add a comment...

Post has attachment
NGUVU katika KUJIKUBALI
    “ 14 Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi. 15 Maana sijui nifanyalo, kwa sababu lile nilipendalo, silitendi; bali lile nilichukialo ndilo ninalolitenda. 16Lakini kama nikilitenda ...
Add a comment...

Post has attachment
UHUSIANO wa JARIBU na KUSUDI la MUNGU maishani MWAKO (SEHEMU ya KWANZA)
  “ Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu,  ikiwezekana, kikombe hiki  kiniepuke ; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe ” (Mathayo 26:39).   Kwenye maisha kuna MITIHANI mingi, na utakutana na mitihan...
Add a comment...

Post has attachment
WIMBO WA MWAMBA WENYE IMARA TENZI NO 58.
Andiko: 1Wakoritho 10:4 Biblia inasema “wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.” Utangulizi: Ilikuwa mwaka wa 1763 wakati Mchungaji Rev.Augustus  Montague Toplady, Muhubiri...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
KANISA LIMEITELEKEZA ISRAEL?
600 × 400 - upi.com 2000 × 1455 - commons.wikimedia.org      Shalom
mpendwa. Awali ya yote kabla hujaanza kusoma mafundisho haya, ninakushauri
uchukuwe notebook, kalamu, Biblia na tafuta mazingira matulivu kabisa alafu
utangulie kufanya maombi kualika Roho ...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded