Profile cover photo
Profile photo
King Jofa
88 followers
88 followers
About
Posts

Post has attachment
TUNAUZA NA KUKODISHA MASHINE KWAAJILI YA KUCHIMBA, KUPASUA MIAMBA NA KUPAKIA VIFUSI
Karibu ujipatie mashine kwaajili ya kupasua miamba, Kuchimba na kupakia vifusi. Mshine zote zipo kwenye hali nzuri na tunakodisha na kuuza pia. Mashine zote hizo zinapatikana kwa bei nafuu na tunakuletea popote ulipo. Kwa mtu yeyote anayehitaji hizi mashine...
Add a comment...

Post has attachment
MABENKI YAASWA KUKOPESHA SEKTA YA KILIMO
  Mwakilishi
wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Bw. Augustino Chacha akizungumza wakati akifungua mafunzo ya
awamu
ya pili yanayohusiana na Kanuni za Ukopeshaji katika Kilimo. Mafunzo
hayo ya awamu ya pili yat...
Add a comment...

Post has attachment
MEIMOSI: KAMPUNI YA PANONE YAWA KIVUTIO NA SHELI INAYOTEMBEA
Rais wa Jamuhuri ya /muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli Akiwapungia mkono wafanyakazi wa Panone and Company ltd wakati wakipita mbele yake kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi mjini Moshi.  Kila
tarehe 01/05 maarufu kama Mei ...
Add a comment...

Post has attachment
HIVI NDIVYO INTANETI INAVYOATHIRI MAISHA YAKO YA KILA SIKU
Hakuna kitu kinachoudhi kama kuwa sehemu na marafiki, familia au ndugu lakini unakuta kila mtu ameinamia skirini ya simu yake! Kwa kiasi kikubwa kuja kwa mtandao wa intaneti kumewafanya watu kujikita zaidi na simu zao badala ya watu au kufaidi mazingira yan...
Add a comment...

Post has attachment
EU yaipatia Serikali ya Tanzania msaada wa Bilioni 490/=
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imesaini msaada wa shilingi Bilioni 490 usiokuwa na masharti yeyote kutoka Umoja wa Ulaya ikiwa ni msaada wa kibajeti kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka wa bajeti wa 2017/18. Mkataba huo umesainiwa na Katib...
Add a comment...

Post has attachment
Wawekezaji Wadogo warahisishiwa umiliki hisa za kampuni ya VODACOM
MFUKO wa uwekezaji wa pamoja wa UMANDE UNIT TRUST (UUT) leo umezindua rasmi mpango-mkakati wake wa kifedha utakaowawezesha wawekezaji wadogo na wale wenye kipato cha chini na cha kati waweze kununua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kupitia njia ya vi...
Add a comment...

Post has attachment
Alichokisema Msanii Ney wa Mitego kuhusu Polisi alivyokutana na Waziri Dk. Mwakyembe
Add a comment...

Post has attachment
TANZIA: MBUNGE WA VITI MAALUM "CHADEMA" AFARIKI DUNIA
Add a comment...

Post has attachment
MTANZANIA ALIYEWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI AMUANGUKIA WAZIRI MWAKYEMBE
Gaudence Lekule akiwa katika kilele cha Uhuru, Mlima Kilimanjaro baada

ya kukimbia kwa muda wa wa saa 8:36 mpya akiwa Mwafrika na Mtanzania wa kwanza

kutumia muda huo kupanda kilele cha mlima Kilimanjaro na kushuka. Gaudence Lekule akipanda mlima Kilimanj...
Add a comment...

Post has attachment
AGPAHI YAADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA KIFUA KIKUU – MERERANI, MKOA WA MANYARA
Picha ya pamoja katika maadhimisho ya kifua kikuu - Mererani Shirika lisilo la
kiserikali la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI)
linalojishughulisha na mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI
limeungana na wadau wote duni...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded