Profile cover photo
Profile photo
Elisante William
19 followers
19 followers
About
Posts

Post has attachment
SERIKALI KUANZISHA TUZO KWA WAANDISHI WA BLOGS
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO SERIKALI inatarajia kuanzisha tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii (blogs) nchini kuanzia mwaka 2017. Hayo
yamesemwa leo jijini Dar  es salaam na Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Nape Nnau...
Add a comment...

Post has attachment
PICHA: WORLD VISION YAKABIDHI VIFAA VYA KUJIFUNGULIA KWA ZAHANATI TANO WILAYANI LONGIDO
Shirika la World Vision kupitia Mradi wake wa Maendeleo ya jamii Ketumbeine, umetoa msaada wa Vifaa vya Hosipitali vitakavyosaidia katika kurahisisha shughuli za Uzazi katika Zahanati tano zote zilizopo katika tarafa ya Ketumbeine wilayani Longido Mkoani Ar...
Add a comment...

Post has attachment
SERIKALI YAANZA KUKAGUA NA KUHAKIKI VYETI VYA NDOA KWA WATUMISHI WA UMMA TU
Gazeti
la Tanzania Daima lemieripoti kuwa Serikali ime anza uhakiki wa vyeti
vya ndoa kwa watumishi wa umma. Hatua hiyo ambayo imewashtua watumishi
wengi wa umma, imeelezwa kuwa ni mwendelezo wa harakati za Serikali ya
Rais John Magufuli kuhakiki watumi...
Add a comment...

Post has attachment
KIJANA ANYOFOLEWA ULIMI NA MKE WA JIRANI YAKE WAKATI WAKILA DENDA
Kijana
mkazi wa Unyakhae nje kidogo ya mji wa Singida, Said Mnyambi (26)
amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kunyofolewa
kipande cha ulimi wake na mke wa jirani yake aliyekuwa anamlazimisha
kufanya nae mapenzi. Kwa mujibu
ya maelezo y...
Add a comment...

Post has attachment
TPB YAWAMEGEA TIMU YA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO SHILINGI MILIONI MBILI
Afisa
Habari na Mawasiliano wa benki ya Posta Tanzania (TPB), Chichi Banda
akizungumza mara baada ya kukabidhi hundi ya sh Milioni 2 kwa Mwenyekiti
wa Timu ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Majuto Omary kwa
ajili ya ziara ya mkoani Arusha kwa aj...
Add a comment...

Post has attachment
MGOSI ASTAAFU SOKA SASA KUWA MANAGER WA TIMU
 Mshambuliaji
wa soka wa timu ya  Simba, Mussa
Hassan Mgosi, akiwa na mwanawe, mara baada ya kucheza dakika
tatu uwanjani kwenye pambano la soka la kirafiki baina ya
timu yake na URA ya Uganda kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam,
Agosti 14, 201...
Add a comment...

Post has attachment
HISA ZA CRDB KUANZA KUUZWA JUNI 26
 Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa akifungua mkutano wa wanahisa wa benki hiyo katika Hoteli ya
Sea Cliff jijini Dar es Salaam.  Katibu
wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza wakati wa mkutano wa
w...
Add a comment...

Post has attachment
ZITTO AKAGUA SOKO KUU WILAYANI MASASI LILOTEKETEA KWA MOTO
Kiongozi
wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa
Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea
kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo  chanzo cha moto huo
kimeelezwa ni hitilafu ya umeme. ...
Add a comment...

Post has attachment
HII NDIYO KAULI YA WASIRA AMBAYE ANATARAJIA KUGOMBEA URAIS KATIKA MAJIBU YAKE KUHUSI WINGI WA WAGOMBEA URAIS KUTOKA CCM
Watu
ambao tayari wamejitokeza kutangaza kwamba Wanagombea nafasi ya kuwa
wawakilishi wa CCM kwenye nafasi ya Urais idadi yao ni zaidi ya 35 mpaka
sasa hivi... Waziri Steven Wasira amewasha kipaza sauti ndani ya Kikao
cha Bunge Dodoma na kuongea hizi se...
Add a comment...

Post has attachment
WAMASAI WAONYESHA DALILI YA KUACHA UKEKETAJI
Mkuu
wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na
Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto)
akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo
Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongoz...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded