Profile cover photo
Profile photo
Vicky Paschal (Kamata)
178 followers
178 followers
About
Posts

Post has attachment
NAOMBA TUUNGANE PAMOJA KUWAKOMBOA AKINA MAMA
Add a comment...

Post has attachment
YAMOTO BAND KUBURUDISHA SIKU YA "FOR THEM INITIATIVE" SIKU YA PASAKA.
Add a comment...

Post has attachment

Post has attachment
MH. VICKY KAMATA APOKEA TUZO YA HESHIMA KWA KUPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE
Na Steven Mruma     Mh. Vicky Kamata Likwelile amepokea tuzo ya heshima kwa kutambulika kwa mchango wake mkubwa alio uonyesha kwa jamii ya wanawake wa Tanzania na kanda ya ziwa kwa kupitia nafasi zake aizonazo kama Mbunge, lakini pia kama mwanamuziki hasa k...
Add a comment...

Post has attachment
VICTORIA FOUNDATION YATILIANA SAINI NA YAMOTO BAND KATIKA KUFANIKISHA PROGRAM YA "FOR THEM"
Na Steven Mruma         Leo mkurugenzi na mwenyekiti wa Victoria Foundation ametiliana saini mkataba wa pamoja wa kuanikisha program maalum ya  "FOR THEM" na kundi la muziki wa kizazi kipya la Yamoto Band. Mkataba huo utawezesha kuhamasisha na kufanikisha p...
Add a comment...

Post has attachment
MH. VICKY KAMATA APOKEA TUZO YA HESHIMA KWA KUPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE
Mh
Vicky Kamata Likwelile akipokea Tuzo ya heshima kwa kutambua mchango
wake mkubwa alionyesha kwa jamii ya wanawake wa Tanzania na kanda ya
Ziwa Kupitia nafasi yake Bungeni,  na Wimbo wa wanawake na Maendeleo pamoja Taasisi ya Victoria Foundation. Ho...
Add a comment...

Post has attachment
VICTORIA FOUNDATION YAGAWA MASHUKA 100 HOSPITAL YA MKOA WA GEITA
Tarehe 10.03.2017 Mhe Vicky Kamata Likwelile Mbunge wa viti
maalum Mkoa wa Geita amefanya ziara na kugawa mashuka 100 katika
hospitali ya Mkoa wa Geita kwenye ward ya akina mama na watoto, Aidha Mhe Vicky Kamata Likwelile amesikiliza changamoto mbalimbali...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
PICHA: BAADA YA KULA KIAPO CHA UTII MH. VICKY KAMATA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA GEITA.
Mh. Vicky Kamata ameapishwa rasmi na kuwa mbunge kwa kipindi cha pili kuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita..       Baada ya kula kiapo cha utii alipata fursaya kupiga picha na watu mbalimbali akiwemo Naibu spika Dr Tulia Ackson na baadhi ya ndugu jamaa ...
Add a comment...

Add a comment...
Wait while more posts are being loaded