Profile cover photo
Profile photo
Abdallah Sulayman (aboodmsuni)
92 followers
92 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
YANGA YAICHAPA STAND UNITED, YAIKAMATA SIMBA SC
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa kuwafikia Simba SC, baada ya leo kuibuka na ushindi wa goli 3-1 mbele ya Stand united katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu ya vodacom/ Yanga SC leo walikuwa wanacheza mchezo wao w...
Add a comment...

Post has attachment
AZAM WAICHAPA GOLI 2-1 MBAO FC
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kufanya kweli baada ya kuichapa Mbao mabao 2-1, mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Licha ya Simba na Yanga kuwa na mechi mbili mkononi kila mmoja, lakini matokeo h...
AZAM WAICHAPA GOLI 2-1 MBAO FC
AZAM WAICHAPA GOLI 2-1 MBAO FC
azamfans.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
NMB POM: Zayd ashinda Jan-Feb
MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Yahya Zayd, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa timu hiyo (NMB Player Of The Month) mwezi Januari-Februari. Zayd ametwaa tuzo hiyo akiwazidi wachezaji wenzake Nahodha Msaidizi Agrey Moris na kiungo Sa...
NMB POM: Zayd ashinda Jan-Feb
NMB POM: Zayd ashinda Jan-Feb
azamfans.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
YANGA WACHAPWA NA WABOTSWANA
Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara Yanga SC wamejiweka katika mazingira magumu ya kuingia katika hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika baada ya leo kupitea kwa goli 2-1 mbele ya Township Rollers ya Botswana. Yanga ili wapite katika hatua hii, ns kuting...
YANGA WACHAPWA NA WABOTSWANA
YANGA WACHAPWA NA WABOTSWANA
sportmsuni.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
WATANO WA AZAM WAITWA NGORONGORO
WACHEZAJI watano wa timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20, wameitwa kujiunga na timu ya Taifa ya Tanzania ya umri huo ‘Ngorongoro Heroes’. Nyota walioula kutoka Azam FC ni beki wa kati Oscar Masai, beki wa kushoto, Said Issa, viungo ni Mohamme...
Add a comment...

Post has attachment
Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon upande wa wanaume,  Gefrey Kipchumba kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:03 kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi jana. Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathoni upande w...
Add a comment...

Post has attachment
Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon upande wa wanaume,  Gefrey Kipchumba kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:03 kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi jana. Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathoni upande w...
Add a comment...

Post has attachment
STAND WAITULIZA SIMBA TAIFA
Wachezaji wa Stand United na benchi la Ufundi Stand United ya mkoani Shinyanga hii leo wameisimamisha Simba SC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam baada ya mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa leo kumalizika kwa sare ya goli 3-3 na kufanya Simba...
STAND WAITULIZA SIMBA TAIFA
STAND WAITULIZA SIMBA TAIFA
sportmsuni.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
AZAM KUWAKABILI SINGIDA UNITED KESHO CHAMANZI
  KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani kuvaana na Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jumamosi saa 1.00 usiku. Mchezo huo unatarajia kuwa mkali...
Add a comment...

Post has attachment
WATANZANIA WASHIRIKI KWA MARA YA KWANZA MASHINDANO YA IUIU
Watanzania na Wasomalia wakisalimiana Timu ya wanafunzi wa chuo cha kiislamu Uganda (IUIU) kampasi kuu (Mbale, Uganda) kutoka nchini Tanzania leo imecheza mchezo wake wa kwanza baada ya miaka si chini ya mitano kupita dhidi ya Somalia katika ligi inayo husi...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded