Profile cover photo
Profile photo
Haki Elimu
4,930 followers -
People making a difference in education and democracy
People making a difference in education and democracy

4,930 followers
About
Haki's posts

Post has attachment
Tulitoa angalizo mwezi February ila Taasisi ya Elimu ikakataa kuwepo kwa vitabu vyenye "ukakasi" Sikiliza majibu kuhusu hoja hiyo

Post has attachment
Kuna lolote jema la kujifunza kutoka Mtwara katika elimu ? Ungana na Robert Mihayo katika makala hii https://www.facebook.com/notes/hakielimu/kuna-lolote-jema-la-kujifunza-toka-mtwara-katika-elimu/1414038928638570
Photo

Post has attachment
Je wajua? Huenda maelfu ya wanafunzi haswa wanaoanza darasa la kwanza na kidato cha kwanza mwaka huu (2017) wanakabiliwa na ukosefu wa madarasa. Kwa mujibu wa ripoti, mkoa wa Arusha una upungufu wa madarasa 1,321 kwa shule za msingi za serikali na upungufu wa madarasa 118 kwa shule za sekondari za serikali. Mkoa wa Dar-es-salaam una upungufu wa madarasa 400 kwa shule za msingi za serikali. (Chanzo: the Citizen, 9.01. 2017, ukurasa wa 1).
Photo

Post has attachment
Je wajua? Kwa kipindi cha miaka 10, ufaulu wa somo la Hisabati kwa mtihani wa taifa wa darasa la saba na kidato cha nne umekua sio wa kuridhisha ambapo ni asilimia 20 tu ya watahiniwa ndio hufaulu somo hilo.?
(Chanzo: Daily News 10. 1. 2017, ukurasa wa 1).

Photo

Post has attachment
JAMII NA SHULE SEHEMU YA PILI

Post has attachment
JAMII NA SHULE SEHEMU YA KWANZA

Post has attachment
STAHIKI ZA WALIMU WETU

Post has attachment
MAZINGIRA YA KUISHI WALIMU

Post has attachment
MAZINGIRA SHULE ZETU

Post has attachment
TAALUMA YA UALIMU SEHEMU YA PILI
Wait while more posts are being loaded