Profile cover photo
Profile photo
Josephat Lukaza
1,563 followers
1,563 followers
About
Josephat's posts

Post has attachment
ESRF YAENDESHA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA REDIO JAMII
Vyombo vya habari nchini hususani redio za kijamii zimetakiwa kuandika habari ambazo zinaelezea changamoto ambazo zinawakabili wananchi katika maisha yao ya kila siku na jinsi ambavyo wanaweza kuzitatua. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, ...

Post has attachment
UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akihutubia maelfu ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Arusha zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid iliyofanyika ...

Post has attachment
WALIMU NA ASASI ZA KIRAIA WAJENGEWA UWEZO KUHAMASISHA UKUSANYAJI WA RASILIMALI ZA NDANI KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
Afisa Mradi wa Elimu kutoka TENMET, Bi. Alistidia Kamugisha akielezea juu ya uhusiano wa ukusanyaji kodi na maendeleo katika sekta ya elimu kwenye mafunzo ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto za utoaji wa elimu bora hapa nchini mkutano huu umewakutanisha wan...

Post has attachment
WASICHANA 8000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UNESCO WA ELIMU
Wasichana 8,000 waliopo shuleni na 600 ambao hawako shuleni watanufaika na mradi mkubwa wa kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kupata elimu. Mradi huo wa miaka minne wenye gharama ya dola za Marekani milioni 5 utafanyika katika wilaya tano nchini. W...

Post has attachment
BancABC wins best emerging Bank in Tanzania
BancABC has been announced as the Best Emerging Bank in Tanzania for the year 2017. The bank won the award during The Banker Africa – East Africa Awards 2017 which were held in Nairobi last week. Speaking during the event which was held at Kenya’s capital c...

Post has attachment
BONANZA LA KWAYA ZA VIJANA KUTOKA SHARIKA MBALIMBALI ZA KANISA LA MORAVIAN JIJINI DAR LAFANA KATIKA VIWANJA VYA NIT.
Kikosi cha kwaya ya Usharika wa Mabibo (waliovaa jezi za Dark Blue) na kwaya ya Usharika wa Kinondoni (waliovaa jezi nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza Mpira ukiwa unaendelea ambapo kwaya ya Kinondoni waliibuka kuwa washindi Baadh...

Post has attachment
TBL GROUP YASHIRIKI KAMPENI YA KUWAJENGEA WASICHANA UWEZO
 Meneja wa Mawasiliano wa TBL Group, Zena Tenga, akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyopo Bagamoyo katika semina ya kuwajengea  uwezo wa kujiamini na kukabiliana na  changamoto mbalimbali chini ya mpango unaojulikana ka...

Post has attachment
SBL yatoa zawadi ya gari aina ya Heicher ya shs 50m/- kwa msambazaji bora
Mkurugenzi wa Mauzo wa SBL, Alain Tayo (wa kwanza kushoto) akimkabidhi nyaraka za gari aina ya Heicher  lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 50 kwa Mwakilishi wa MM Group Joseph Chanika,   ambaye ni msambazaji wa kanda aliyeibuka msambazaji anayeongoz...

Post has attachment
NEEC, UN, HDIF wazindua mafunzo kwa wajasiriamali
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji,Bengi Issa, akizungumza na waandishi wa habarai Dar es Salaam jana wakati wa semina kwa vijana kuhusu namna ya kutumia Fursa kujikwamua kiuchumi. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Al...

Post has attachment
NEEC, UN, HDIF wazindua mafunzo kwa wajasiriamali
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji,Bengi Issa, akizungumza na waandishi wa habarai Dar es Salaam jana wakati wa semina kwa vijana kuhusu namna ya kutumia Fursa kujikwamua kiuchumi. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Al...
Wait while more posts are being loaded