Profile cover photo
Profile photo
Ibrahim Morowa
80 followers -
Aye!
Aye!

80 followers
About
Posts

Post has attachment
Mwanamke Mwenye Kiu Utamjuaje? Ishara Zote 12 Tunazo
Je unamjua mwananamke mwenye kiu? Kama unamjua ni mwanamke
gani basi swali la pili unafaa ujiulize ni je yule mwanamke ninayemfukuzia ni
mwenye kiu au la? Najua ushawahi kuskia aina hii ya mwanamke lakini huzijui
tabia zake, labda hujawahi kukumbana na mmoj...
Add a comment...

Post has attachment
Sababu Za Kwanini Unamkumbuka Ex Wako Mara Kwa Mara
Imekuwa miezi kadhaa tangu uachane na ex wako. Kwa sababu
zisizoweza kuepukika uliamua kukata uhusiano wako na mpenzi wako ili utafute maisha
yako. Lakini kuna tatizo ambalo linajitokeza mara kwa mara. Kila
ukikaa ama kupumzika unamkumbuka ex wako. Na si kw...
Add a comment...

Post has attachment
Maneno 14 Ambayo Mwanamke Anatamani Umwambie
Ikija katika maswala ya kuwavutia wanawake, kile kitu ambacho utamtamkia kitakusaidia pakubwa katika azma yako ya kumuwini. Hakuna ujanja wowote ambayo unatumika bali ni maneno yako. Wanawake ni viumbe ambao ni wasikilivu ilhali wanaume ni viumbe waangalifu...
Add a comment...

Post has attachment
**
Ikija katika maswala ya kuwavutia wanawake, kile kitu ambacho utamtamkia kitakusaidia pakubwa katika azma yako ya kumuwini. Hakuna ujanja wowote ambayo unatumika bali ni maneno yako. Wanawake ni viumbe ambao ni wasikilivu ilhali wanaume ni viumbe waangalifu...
Nesi Mapenzi
Nesi Mapenzi
nesimapenzi.com
Add a comment...

Post has attachment
Jinsi Ya Kuishi Katika Mahusiano Marefu Na Mpenzi Wako
  Kuwa katika relationship ni ngumu
na pia ni rahisi. Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini
baada ya siku mbili tatu unaona wamekosana na mwisho kuachana. Pia utapata
wengine wanakuwa katika relationship miaka mitano hata kumi na zaidi...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded