Profile cover photo
Profile photo
Gadiola Emanuel
290 followers -
Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar.
Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar.

290 followers
About
Posts

Post has attachment
Matukio : Waziri, Dk. Kigwangalla afuturisha wabunge Dodoma, asisitiza Upendo, Umoja na Mshikamano wa kitaifa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai nyumbani kwake kwa ajili ya kujumuika na wabunge wengine kwenye hafla ya futari aliyoiandaa kwa ajili yao nyumbani k...
Add a comment...

Post has attachment
Nishati : Naibu Waziri, Atembelea kiwanda cha kutengeneza Mita za Luku za Kisasa Jijini Dar es Salaam.
  NAIBU
Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, akiwa ameshika moja ya mita ya kisasa ya LUKU , (Smart Meter), iliyotengenezwa na kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam, wakati alipokitembelea kujionea mita hizo leo...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Katibu Mkuu wa UWT, Ameahidi kufanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na Uzalendo
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. KATIBU Mkuu wa Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndugu Queen Mlozi ameahidi kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uzalendo uliotukuka ili CCM ishinde katika uchaguzi mkuu wa dola mwaka 2020. Hayo ameyasema wa...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Kamishna Jenerali wa Magereza Awavisha vyeo Maofisa Waandamizi Tisa wa Jeshi la Magereza Jijini Dar es Salaam
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) akimvalisha cheo akimvalisha cheo Naibu Kamishna wa Magereza, Tusekile Mwaisabila kuwa Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jij...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Hafla ya Kukabidhi hati za Utambulisho za Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria
Tarehe 7 Juni 2018 kuanzia saa 5:30 hadi 6:15 Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari. Hafla hiyo ilifanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Ji...
Add a comment...

Post has attachment
Mazingira : Kampuni ya Easy Travel and Tours Ltd Yakusanya taka za Plastiki kutunza Mazingira
Wapagazi wa kampuni ya Easy Travel and Tours Ltd wanaobeba mizigo ya watalii kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(Kinapa)wakikusanya mifuko na chupa za plastiki kwaajili ya kusafisha mazingira eneo la Kwamrombo jijini Arusha. Mkurugenzi wa Jiji la A...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Wizara ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 mwaka wa Fedha 2018/19
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni ...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Makadirio ya Ujenzi wa Chumba cha Kuhifadhia Maiti Murriet kupitiwa upya
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akitoa maelekezo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Murriet kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho. Nai...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : Uzinduzi rasmi wa Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. Anayem...
Add a comment...

Post has attachment
Matukio : DC Shinyanga Akabidhi Msaada wa Bima ya Afya
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro , Ijumaa Juni 1,2018 amekabidhi msaada wa nguo za shule na kadi za bima ya afya kwa wanafunzi 200 wanaoishi katika mazingira magumu katika kata za Chamaguha,Ibadakuli,Kizumbi, Mwawaza na Mwamalili zilizopo katik...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded