Profile cover photo
Profile photo
Shafii Blog
3 followers
3 followers
About
Posts

Post has attachment
TUGUTUKE VIJANA MUDA BADO UPO
Nimejaribu kufatilia video ya mahojiano kati ya millard ayo na Mzee salum Sumry,nikajikuta napata la kuandika leo hii. Nimewaza mengi sana japo interview ilikuwa fupi lakini nilipata majibu na maswali mengi sana, hii ilinifanya nikubali kumaliza MB zangu ku...

Post has attachment
TUNAOMBA RADHI SANA KWA WAMILIKI WA TSSF
Habari hii iliandikwa kimakosa, website tuliyo idhania kuwa si ya wana tssf, tulikuwa tumekosea ni kweli ni ya wana tss na tunaomba radhi kwa kuwaweka wana tssf katika wakati mgumu na pia tunaomba wanachi muamini kuwa KAMPUNI NI YA KWELI NA INATIA WEBSITE Z...

Post has attachment
KUMRADHI KATIKA HABARI YA JANA KUHUSU WATU WANAOTUMIA JINA LA TSSF KUTAPELI WATU.
Husika na heading yetu hapo juu, jana siku ya alhamisi tarehe 02/06/2017 niliandika makala ya juu ya watu wanaotumia jina la TSSF kutapeli vijana wa kitanzania, naomba radhi kwa kampuni husika na kwa wa Tanzania wenzangu kwa kuandika maelezo mafupi ambayo h...

Post has attachment
TAHADHARIYA MATAPELI WA TSSF WANAOJIFANYA KUTOA MIKOPO
TSSF ni kamluni inayojitangaza kuwa imesajiliwa Tanzania na inajishugulisha na shuguli za utoaji mikopo nchini Tanzania kwa ngazi za degree na diploma kwa wale waliokosa mkopo kutoka bodi inayotambulika ya mikopo ya chuo. Nawaasa vijana wa ki Tanzania, wado...

Post has attachment
UZALISHAJI WA MBEGU BORA ZA MAHARAGE
Maharage n zao muhimu kwa chakula,
lishe na kipato kwa familia na Taifa. Kwa mavuno mengi ni vizuri kuzingatia
kanuni bora muhimu za kilimo bora cha Maharage. Mavuno mengi na yenye ubora
huchangiwa na matumizi ya mbegu bora. Mbegu bora ni mojawapo ya pembej...

Post has attachment
UZALISHAJI WA MBEGU BORA ZA MAHARAGE
Maharage n zao muhimu kwa chakula,
lishe na kipato kwa familia na Taifa. Kwa mavuno mengi ni vizuri kuzingatia
kanuni bora muhimu za kilimo bora cha Maharage. Mavuno mengi na yenye ubora
huchangiwa na matumizi ya mbegu bora. Mbegu bora ni mojawapo ya pembej...

Post has attachment
JE? KUNA UHUSIANO KATI YA UPOTEVU WA NYWELE KICHWANI (KIPARA) NA NGUVU ZA KIUME?
Uhusiano kati ya testosterone na
upotevu wa nywele kichwani (kipara) ni mgumu sana kuulezea, Baadhi ya watu
huamini kuwa watu wenye vipara wana level ya juu ya hormone hii, swali je ni kweli?
Kuna ukweli juu ya hili…? Upotevu wa nywele unatokana na kusinyaa...

Post has attachment
MAGONJWA YA KILIMO CHA KAHAWA NA UDHIBITI WAKE
Kahawa ni zao kubwa la biashara
linaloliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Ni la pili baada ya Tumbaku.
Lakini zao hili linakabiliwa na changamoto nyingi ambazo ni magonjwa na wadudu
achilia mbali Pembejeo, haya yote yanamuhusisha moja kwa moja mkulima. ...

Post has attachment
NDOA NA MAFANIKIO.
Habari, leo napenda niongelee mada ya ndoa na pia mafanikio, Nimemua kuyaandika haya kwa sababu kuna watu wanachanganya sana maneno kuhusu ndoa. watu wanaamini ndoa au ukitaka kuoa ni mpaka uwe na mafanikio, hapana ndoa ni njia moja wapo nzuri na rahisi ya ...

Post has attachment
PATA FAIDA YA MILIONI MBILI KWA KILIMO CHA PAPRIKA
Utangulizi: Jina la kitalaamu la PAPRIKA ni
Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao
hili hulimwa katika mikoa ya   Iringa,
Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha. Zao hili kwa sasa huzalishwa kwa msukumo wa
kampuni ya kigeni...
Wait while more posts are being loaded