Profile cover photo
Profile photo
Cornwell Tanzania
8 followers
8 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Buy our products online, please follow this link https://cornwelltanzania.godaddysites.com/
Add a comment...

Post has attachment
Historia ya Colloidal Silver

Silver imetumika zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Walikua wakichukua silver coin na kuiweka kwenye maji ya kunywa ili kutibu maambukizi (Infections)

Miaka 4000 B. C Wagiriki walitumia Silver kama disfectant, Pia Silver ilitumika na warumi kutibu vidonda wakati wakiwa vitani. India na Marekeni inatumika mpaka leo kama Natural antibiotic.

Silver imekuwa ikitumika kama preservative kwenye maziwa, maji ya kunywa na mbogamnboga. Vyombo vya silver vilitumika sit u kulia chakula, waliamini kutumia vyombo vya silver ni sehemu ya kinga ya magonjwa mbalimbali.

Miaka ya 1930 Colloidal Silver imetumika katika hospital mbalimbali kwa watoto wachanga kwa kudondosha tone moja machoni ili motto asipate upofu iwapo mama alikua na magonjwa ya maambukizi.

Mwaka 1978 iliripotiwa kutumika kwa filter za Silver na mashirika ya ndege kama British Airways, Lufthansa na Air France kuzuia abiria wasipate water born diseases. Baada ya mashirika haya ya ndege kufanya uchunguzi wa kina wa filter za kusafisha maji aina 23 NASA ilichagua filter iliyokuwa imetengenezwa na Silver.

Zipo taarifa nyingi za Colloidal silver na faida zake.

Matumizi ya Colloidal Silver:

Colloidal Silver inatumika

· Kunywa

· Kutibu virginal infection

· Urine Track infection ( UTI)

· Kuspray kwenye pua. ( Nose spray)

· Kuvuta kwa kutumia Nebulizer

· Kuweka kwa matone machoni

· Kusukutua

· Kuweka matone masikioni

· Kutibu vidonda vya moto, aidha, husaidia kupunguza ukubwa wa kovu la moto.

· Vidonda vya tumbo

· Kujikata, husaidia kuzuia visipate maambukizi. ( Infection)

· Colloida Silver ikitumka pamoja na IH- MYOON inasaidia sana wagonjwa wa kisukari kwa kurudisha uwezo wa kongosha kuzalisha insulin pamoja na homone nyingine za kusaidia mfumo wa usagaji wa chakula. (Colloidal Silver combined with IH-MYOON release the burden of pancreas to enable it to increase the production of Pancreatic juices.)Colloidal Silver inafanya vizuri kwenye magonjwa yaliyoshindikana kutibika kwa synthetic antibiotic.

Colloidal Silver ni Anti fungal na anti Bacteria

Inaweza kutumika kama Kinga ya mafua na kikohozi ( Flu and Cold)

Tangu mwaka 2009 tulipoanza kutumia hii dawa imekuwa mafanikio makubwa. Katika list yetu ya wagonjwa wamepata matokeo chanya.

Mpaka sasa tuna record za watu zaidi ya mia moja waliotumia Colloidal Silver kwa kusaidia matatizo mbalimbali na wamepata mafanikio.

Madhara (Side effect)

· Kuumwa kichwa, hii hutokea kama mwili una sumu nyingi ( Toxin)

Colloidal Silver tumeitumia hapa Tanzania kutoka mwaka 2009 kutibu na kukinga magonjwa mbali mbali. Hasa magonjwa ya maambukizi (infections).Jinsi ya kupata hii dawa, wasiliana nasi kwa namba 0626888111 kwa kupiga au kutuma whatsapp, pia tunatafuta wasambazaji. Dawa hii imesajiliwa. Kwa wenye maduka ya madawa, wataalam wa afya ni nafasi yenu kuwasaidia wagonjwa wenu na dawa hii.Cornwell Tanzania........ Innovation in healthcare
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Hello, if you looking for natural health products please contact us Cornwell Tanzania ±255713306263. You can also find us on FB and Instagram. We also have a small clinic offer natural therapies like acupuncture, tens therapy, Cupping and other treatment method of TCM. we are located at Kimbiji Kigamboni.
PhotoPhotoPhotoPhotoPhoto
1/10/17
10 Photos - View album
Add a comment...

Post has attachment
Hello, if you looking for natural health products please contact us Cornwell Tanzania ±255713306263. You can also find us on FB and Instagram. We also have a small clinic offer natural therapies like acupuncture, tens therapy, Cupping and other treatment method of TCM. we are located at Kimbiji Kigamboni.
PhotoPhotoPhotoPhotoPhoto
1/10/17
14 Photos - View album
Add a comment...

Post has attachment
Photo
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded