Profile cover photo
Profile photo
Hisia za Mwananchi
35 followers -
Popote Tutakufikia
Popote Tutakufikia

35 followers
About
Posts

Post has attachment
Umeskia Application ya simu unayoweza kuingilia mawasiliano ya mtu yoyote?Sasa Hii ni kauli ya TCRA asubuhi hii,ni Tahadhari kwako
TAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA
WATU Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA
ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja
na mawasiliano ya WhatsApp kutoka kwenye simu ya mtu bi...
Add a comment...

Post has attachment
Magufuli Aitaka TRA Kutoa Mashine za EFDs Bure.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ameishangaa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kutogawa bure Mashine za EFDs, na
wao kubaki na kazi ya kukusanya mapato. Akizungumza
katika mkutano wa wafanyabiashara na wawekezaji jana jiji...
Add a comment...

Post has attachment
Wanawake 100 wa BBC 2015: Nani wenye msukumo zaidi?
Wanawake mia wenye msukumo zaidi duniani mwaka wa 2015 wameorodheshwa na BBC. Makala
ya mwaka huu ya Wanawake 100 ni ya tatu tangu kuanzishwa kwake 2013, na
lengo lake ni kuwakilisha wanawake vyema katika habari zinazopeperushwa
na BBC Orodha ya mwaka hu...
Add a comment...

Post has attachment
TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China!!
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata
utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga
(kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata
utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mab...
Add a comment...

Post has attachment
[Audio] Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli
January
Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika
akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada
ya kumnyima Uwaziri Mkuu. Katika utetezi wake, Makamba amesema picha hizo hakuziweka yeye bali ziliwek...
Add a comment...

Post has attachment
MPYA: Huu Ndio Undani Wa Tukio la Kuchomwa Kituo cha Redio, Hits FM Cha Zanzibar (Picha)
Watu zaidi ya 15 wamedaiwa kukivamia kituo cha redio cha Hits FM cha visiwani Zanzibar na kukiteketeza kwa moto. Studio ya Hits FM baada ya kuchomwa moto Watu
hao wanadaiwa walikuwa kwenye gari aina ya Noah waliyoipaki nje ya
ofisi hizi, kuwashambuliwa wa...
Add a comment...

Post has attachment
Wiki nne za Lilian Miss Tanzania na warembo wengine 120 ndani ya China kuelekea #MissWorld2015
Najua ni kazi yangu kuhakikisha uko
karibu na kila stori kubwa mtu wangu, kutoka kona zote… kila
inaponifikia na mimi nahakikisha naisogeza kwako !! Ninayo nyingine ambayo nimefikishiwa
kutoka Kamati inayosimamia mashindano makubwa ya urembo Tanzania amb...
Add a comment...

Post has attachment
Zitto amtaka Rais Magufuli kutangaza hali ya hatari Zanzibar (video)
Kiongozi
wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amemtaka rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kutangaza hali ya hatari
visiwani Zanzibar, endapo suala la kurudia uchaguzi ama kutangazwa kwa
mshindi wa kiti cha urais likishindik...
Add a comment...

Post has attachment
Masanja Mkandamizaji na maneno yake 16 baada ya kushindwa kura za maoni Ubunge wa Ludewa..
List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao
walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka
baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi , Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo. Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubu...
Add a comment...

Post has attachment
Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!
Algeria
imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya
mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia
Urusi 2018. Kikosi
hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor /
Uturuki), Azzedi...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded