Profile cover photo
Profile photo
Jamii Yetu
145 followers
145 followers
About
Posts

Post has attachment
FAHAMA NJIA HIZI ZAKULINOGESHA PENZI LAKO KWAKE DAIMA...
KUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya. Wengi wamekuwa hawaelewi mambo mengi kuhusu uhusiano ndiyo maana huishia kulalamika kwamba wanapenda sana lak...
Add a comment...

Post has attachment
BREAKING NEWS: MAAMUZI MAZITO YA KISHERIA YAMUWEKA PABAYA KIKWETE HAKUNA ALIEAMNI HILI..
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii  baadhi ya wachangiaji wakimdhihaki Tundu Lissu kwamba anachemka kusema Kikwete ahojiwe. Wapingaji hawa wanashangaa uanasheria wa Tundu Lissu kwamba iweje hajui kama Kikwete ana kinga. Tundu Lissu. Wabongo wavivu kusoma, n...
Add a comment...

Post has attachment
HABARI NZITO: NI HATARI WEMA SEPETU KUANDIKA HISHORIA NZITO MAHAKANI HII LEO...
Kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Julai 10. Wema ambaye ni mshindi wa taji la urembo, maarufu Miss Tanzania kwa mwaka 2006 na msanii wa filamu, anakabiliwa na kesi hiyo akida...
Add a comment...

Post has attachment
HOT NEWS: KIMENUKA BUNGENI SPIKA NDUGAI, KAMBI YA UPINZANI WAKABANA MAKOO SHUHUDIA TUKIO HILI HAPA..
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia. Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mch...
Add a comment...

Post has attachment
HABARI NZITO: JUMA KASEJA ATOBO SIRI NZITO YA MANULA BOCCO NA KAPOMBE KUIHAMA AZAMA FC...
Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania....
Add a comment...

Post has attachment
ZITO KABWE AKINUKISHA TENA ATUMA UJUMBE MZITO KWA RAIS MAGUFULI HAKUNA ALIEAMINI HAYA...
"Mwisho wa siku historia inaandikwa tu. Uzalendo ni kufanya jambo ambalo wengi hawakuelewi lakini wewe unajua Ni jambo sahihi na unakubali kutukanwa, kususubikwa, kusimangwa, kuzushiwa, nk. Unapambana tu. Mwisho wa siku waliokuita msaliti watakuita shujaa. ...
Add a comment...

Post has attachment
BREAKING NEWS: KIMENUKA RIPOTI YA PILI MCHANGA WA MADINI CHENGE ,NGELEJA NDIO BASI TENA YAWAKUTA MAZITO..
Ripoti ya kamati ya pili kuhusu mchanga wa madini imewaibua Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na Mbunge wa Sengerema, Wiliam Ngeleja kuhusu mikataba ya madini iliyoingiwa miaka iliyopita. Mbali na hao pia imewaibua marehemu Dk Abdallah Kigoda aliye...
Add a comment...

Post has attachment
DONE DEAL: AISHI MANULA AIHAMA AZAMA FC LEO ATIMKIA UPINZANI YANGA WAFUNGUKA MAZITO...
Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia...
Add a comment...

Post has attachment
HABARI NZITO: PAUL MAKONDA KWELI KIBOKA AMWAGA MABILIONI KATIKA JAMBO HILI ZITO MNO..
Ikiwa ni nje ya Zawadi zilizokuwa zimeandaliwa kwajili ya Washindi wa mashindano makubwa afrika ya kuhifadhi na kusoma Qur-an juzuu 30 Kati ya washiriki 17 kutoka nchi 15 Barani Afrika yaliyofanyika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, Tanzania, Katika hot...
Add a comment...

Post has attachment
BREAKING NEWS: HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE RAIS MAGUFULI NDIO BASI TENA AIBUA SAKATA ZITO MNO NCHINI...
Siku chache tangu akabidhiwe ripoti ya mchanga wa madini, Rais Magufuli atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini Jumatatu June 12, 2017 Ikulu Dar es Salaam. AyoTV...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded