Profile cover photo
Profile photo
Bin Zubeiry Sports - Online
1,224 followers
1,224 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Post has attachment
NJOHOLE WA MBAO FC ALIPODHIHIRISHA UBORA WAKE JANA SPORTPESA SUPER CUP
Mchezaji wa Mbao FC, Ibrahim Njohole akikabidhiwa mfano wa hundi wa dola 500 za KImarekani, zaidi ya Sh. Milioni 12. za Tanzania baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jana katika mchezo wa SportPesa Super Cup jana Uwanja wa...
Add a comment...

Post has attachment
CHAMA AANZA VYEMA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP, ABEBA TUZO
Mkurugenzi wa Michezo, Dk.Yussuf Singo akimkabidhi kiungo Mzambia Simba SC, Clatous Chama mfano wa hudi ya dola 500, zaidi ya Sh. Milioni 1.2 za Tanzania baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Mechi dhidi ya AFC Leopards michuano ya SportPesa Super Cup jana Uwanja ...
Add a comment...

Post has attachment
BEN YADDER AMLILIA SALA AKIIADHIBU BARCELONA KOMBE LA MFALME
Wissam Ben Yedder akishangilia bao la pili aliloifungia Sevilla kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona kwenye Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania jana kwa kufunua jezi yake kuonyesha maandishi ya kusikitikia kupotea kwa rafiki yake, mwanaso...
Add a comment...

Post has attachment
BARCA YAZIPIKU PSG NA MAN CITY, YAMSAINI DE JONG MIAKA MITANO
Frenkie de Jong akikabidhiwa jezi ya Barcelona na Rais wa klabu hiyo, Josep Maria Bartomeu baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 65 kutoka Ajax na kuifanya klabu hiyo ya Katalunya izipiku Manchester City na Paris Saint-Germain zilizokuwa zinam...
Add a comment...

Post has attachment
MAN CITY YAKAMILISHA BIASHARA KOMBE LA LIGI, YATANGULIA RASMI FAINALI
Gabriel Jesus wa Manchester City (katikati) akijaribu kupasua katikati ya mabeki wa Burton, huku Nigel Clough akijaribu kumzuia katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Pirelli, Burton-upon-Trent mjini Staffordshire...
Add a comment...

Post has attachment
HIGUAIN ATUA CHELSEA KWA MKOPO MORATA ARUDISHWE HISPANIA
Mshambuliaji Muargentina, Gonzalo Higuain akiwa ameshika jezi namba 9 ya Chelsea jana mjini London baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kutoka AC Milan hadi mwsihoni mwa msimu, dili ambalo linaweza kuifanya The Blues imtoe kwa mkopo, mshambuliaji wa ...
Add a comment...

Post has attachment
SIMBA SC YAINGIA NUSU FAINALI KOMBE LA SPORTPESA, KUMENYANA NA BANDARI
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya AFC Leopards ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.  Kwa ushindi huo, Simba SC inayofund...
Add a comment...

Post has attachment
SPORTPESA CUP; MBAO FC YAWANG’OA KWA MATUTA MABINGWA WATETEZI GOR MAHIA
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM TIMU ya Mbao FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 na mabingwa watetezi, Gor Mahia ya Kenya jioni ya leo uwanja wa Taifa mj...
Add a comment...

Post has attachment
'SELFIE' YAMTIA LAWAMANI RONALDO HAKUJALI KUHUSU JANGA LA SALA
GWIJI wa England, Gary Lineker amesikitishwa na kitendo cha Cristiano Ronaldo kuposti picha aliyojipiga ‘selfie’ akiwa kwenye ndege yake binafasi kipindi hiki ambacho mchezaji mpya wa Cardiff City, Emiliano Sala anahofiwa kufa kwenye ajali ya ndege. Ronaldo...
Add a comment...

Post has attachment
ALEX JOSEPH PETER WA KIMARA TEMBONI ASHINDA SH. MILIONI 31 ZA SPORTPESA
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MKAZI wa Kimara Temboni mjini Dar es Salaam, Alex Joseph Peter (26) ameibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13. Katika mazungumzo na waandishi wa habari Ale...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded