Profile cover photo
Profile photo
Richard Manyota
30 followers
30 followers
About
Richard's posts

Post has attachment
Vishawishi vya kimapenzi kwa wanafunzi na jinsi ya kuvishinda
Kwenye moja ya mada ya zangu kuhusu vizuizi vya mafanikio ya
kimasomo tumeona suala la mwanafunzi kujihusisha na mapenzi limechukua nafasi
ya pili, hii ina maana kuwa wanafunzi wengi hupoteza mwelekeo wa kimasomo baada
ya kujiingiza katika ulimwengu wa mape...

Post has attachment
UBAYA NI KIOO; UNAOUONA KWA WENZAKO NI WAKO
Watu wengi huhangaika sana kujua kama wanaifurahisha
jamii au wanaiudhi. Wengine wamefikia hatua ya kujiuliza, wamekosea nini watu
wanaowazunguka   mpaka wakajikuta
wamechukiwa?   Kisaikolojia fikra za namna
hii, ni   sawa na kutafuta gari kwenye
mwanga kwa...

Post has attachment
Jambo gani ni muhumu; kupenda au kupedwa?
UCHUNGUZI
unaonesha kuwa, watu wengi waliopata kuulizwa swali lililopo kwenye kichwa cha
makala haya walipendelea zaidi kupendwa. Ni nadra
sana mtu kujinung’unikia juu   ya udhaifu
wa kutopenda, kuliko lawama za kuwalaumu wengine kuwa hawampendi. Je hivi
nd...

Post has attachment
MNAWAFELISHA WAWE MAHAUSIGELI NA MAHAUSIBOI WENU
ENZI za mkoloni ambazo Mkuu wa Kaya nilikuwepo; mpango mahususi
ulikuwa   elimu bora ni kwa watu weupe. Weusi hawapekuwa nafasi kwenye shule bora kwa kuwa mkakati
uliwataka waendelee kuwa mbumbumbu ili wawe watumwa katika mashamba ya mkonge
na katani. Shukr...

Post has attachment
AVUNJIKA TAYA, AOMBA MSAADA WA 60, 000/= ATIBIWE
Emmanuel Nelson akiwa wodini Hospitali ya  Taifa Muhimbili. EMMANUEL NELSON mwenye umri wa miaka kati ya (30 au
35, ambaye ni  mzaliwa wa Mbamba Bay, Ruvuma, na ambaye wazazi wake
wanaishi Dodoma, anaomba msaada wa kutibiwa taya ambalo limevunjika. Nelson...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
Wait while more posts are being loaded