Profile cover photo
Profile photo
Chadema Blogtz
3,694 followers
3,694 followers
About
Chadema's posts

Post has attachment
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA


Post has attachment
TASWIRA KUTOKA MAHAKAMA KUU


Post has attachment
MAHAKAMA KUU YAZUIA MBOWE ASIKAMATWE
Februari 21, 2017 Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake kutokamatwa yataposikilizwa siku ya Ijumaa. Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya RC ...

Post has attachment
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU​
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ​ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU​ 1.0 UTANGULIZI Kikao cha Kamati Ndogo ya Kamati Kuu cha dharura kilichoketi tarehe 14 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam ka...

Post has attachment
TAMKO LA CHADEMA JUU YA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU 16/02/2017


Post has attachment
CHADEMA wafungua kesi dhidi ya Makonda
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kukiuka sheria na taratibu katika kushughulikia watuhumiwa wa biashara za dawa za kulevya nchini. Akizungumza na m...

Post has attachment
MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA


Post has attachment
HOJA YA MBUNGE WA UKONGA MHESHIMIWA MWITA WAITARA ILIYOZAA AZIMIO LA BUNGE KUWAITA MAKONDA NA MNYETI KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE


Post has attachment
HATIMAYE TUNDU LISSU APATA DHAMANA
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutoa lugha ya kichochezi Serikali imeleta hati ya kiapo ambayo inazuia Mh. Tundu Lissu asipewe dhamana. Kibatala ambaye ni Wakili wa mtuhumiwa amepinga kuwa ...

Post has attachment
KAULI YA MBOWE JUU YA TUHUMA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwaita polisi kuhojiwa kwa tuhuma mbalimbali, baadhi ya walioitwa wamelaani hatua hiyo wakisema inalenga kuwachafulia majina na heshima mbele ya jamii. Akizungumza na waandishi wa habari ofisi...
Wait while more posts are being loaded