Profile cover photo
Profile photo
Tanzania Embassy
2 followers
2 followers
About
Posts

Post has attachment
Honorable Ministers of Trade and Industry from Uganda, Rwanda, Kenya and Tanzania visit to the Embassy of the United Republic of Tanzania. Washington, D.C.
Honorable Ministers of Trade and Industry from Uganda, Rwanda, Kenya and Tanzania visit to the Embassy of the United Republic of Tanzania. Washington, D.C. The Honorable Ministers of Trade and Industry from East African countries Uganda, Rwanda, Kenya and T...
Add a comment...

Post has attachment
RESEARCH AND FELLOWSHIP OPPORTUNITIES FOR YOUNG AFRICANS IN THE UNITED STATES
ENVISION THE GLOBAL YOUNG LEADERS CONFERENCE The conference takes part every year on the following dates: June 19- June 28, July 3-  July 12, July 17- July 26. Place Washington, DC and New York, NY   About The Global Young Leaders Conference is a 10 days le...
Add a comment...

Post has attachment
Ujumbe wa JWTZ watembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC (11 Machi, 2016)
Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC alikutana na Ujumbe wa JWTZ ulioongozwa na Mkuu wa Tiba Jeshini, Brigedia Jenerali (Dkt.) Denis Raphael Janga, aliyekuwa amefuatana na Mkuu wa Chuo cha Kikeshi cha Tiba - Lug...
Add a comment...

Post has attachment
Mikutano ya Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi Oakland, California Dec. 19, 2015
Katika ziara ya Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi ya Oakland, California alikutana na wafanyabiashara katika sekta ya utalii wanaopeleka watalii Tanzania katika kampuni zao. Mhe. Balozi aliongea nao kujua changamoto wanazopata katika kupeleka watalii Tanzania...
Add a comment...

Post has attachment
End of the Year Message of H.E Ambassador Wilson Masilingi to the Tanzanians living in the United States.
  H.E Ambassador Wilson Masilingi delivered his end of year message which called Tanzanians living in the United States of America to strengthen their cooperation and continue to be good Ambassadors of the United Republic of Tanzania to the United States of...
Add a comment...

Post has attachment
MHE. BALOZI WILSON MASILINGI AKUTANA NA MHE. BALOZI HUNAINAH ALMUGHEIRY WA OMAN WASHINGTON DC
Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania nchini Marekani akikaribishwa ofisini kwa Mhe. Balozi Hunaina
Almugheiry, Balozi wa Oman nchini Marekani. Mheshimiwa
Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
Mare...
Add a comment...

Post has attachment
MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI AKUTANA NA BI. CATHY BYRNE, MKURUGENZI MWANDAMIZI WA MASUALA YA AFRIKA, IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE) TAREHE 30 NOVEMBA 2015
Mhe. Balozi Masilingi alitembelea
ofisi ya Bi. Cathy Byrne, Mkurugenzi Mwandamizi wa masuala ya Afrika
katika Ikulu ya Marekani (White House). Katika maongezI yao, Bi. Cathy
Byrne alimueleza Mhe. Balozi Masilingi jinsi Serikali ya Marekani
inavyoridhish...
Add a comment...

Post has attachment
MKUTANO KATI YA MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI, BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA, KANDA YA AFRIKA, BW. LOUIS RENE PETER LAROSE. TAREHE 30.11.2015
Mhe.
Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
Marekani, akifuatana na Bw. Paul Mwafongo alihudhuria mkutano na Bw.
Louis Rene Peter Larose, Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Dunia, Kundi la
Nchi za Afrika. Wengine waliohudhuria ...
Add a comment...

Post has attachment
Mwaliko wa Misa Takatifu ya Kumwombea Marehemu Nyamiti Ivan Lusinde
 
Add a comment...

Post has attachment
COMPETITION: Carnegie African Diaspora Fellowship Program
Applications are now being accepted
through December 8, 2015 for the Fall 2015 competition of the Carnegie
African Diaspora Fellowship Program. ·          Public and
private higher education institutions in Ghana, Nigeria, Kenya, Tanzania, South
Africa and ...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded