Profile cover photo
Profile photo
Udaku Special
621 followers
621 followers
About
Posts

Post has attachment
Mbunge Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Asubuhi ya Leo
Mbunge Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi leo asubuhi akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na amepelekwa Kituo cha Polisi Chang'ombe.

Post has attachment
Kauli ya Wema Sepetu Kuhusu Hali ya Tundu Lissu na Nyalandu Kuihama CCM
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa anajisikia furaha na amani kuona Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa anaendelea vyema kadili siku zinavyokwenda lakini pia amegusia sakata la Nyalandu kujitoa CCM. Wema Sepetu ametu...

Post has attachment
Rais Magufuli Aeleza Sababu za Kutokugawa Milion 50 Alizoahidi Kwa Kila Kijiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ameeleza sababu zinazomfanya achelewe kutimiza ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji alizoziajidi wakati wa kampeni za kugombea urais kuwa ni kutokana na kuwepo kwa mambo mengi nchini y...

Post has attachment
VIDEO: Mwili wangu ndio biashara yangu – Calisah
Mwanamitindo anayekuja kwa kasi nchini Tanzania, Calisah amesema kwa sasa anajifua na mazoezi ili kuutengeneza mwili wake uwe wa kibiashara zaidi kwa ili uvutie watu wanaotaka kufanya nae kazi za matangazo. Hata hivyo, Calisah amesema kuwa kitendo cha yeye ...

Post has attachment
Wabunge CCM Kuisoma Namba....Ni Baada ya Chama Hicho Kutaka Kila Mgombea Awe Mkazi wa Eneo Analotaka Kugombea
Wanachama wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, sasa watalazimika kuwa wakazi wa eneo wanalotaka kuliwakilisha, sharti ambalo linaweza kuwaondoa takriban nusu ya wabunge wa sasa. Kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano kuruhusu mtu kwenda sehemu yo...

Post has attachment
Dhahabu Iliyokuwa Inatoroshwa Yakamatwa
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inawashikilia watu wawili kwa kukutwa wakisafirisha dhahabu yenye uzito wa kilogramu 6.2 iliyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi 500.3 milioni isivyo halali. Mkurugenzi wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko aliwa...

Post has attachment
Shuhudia Maajabu ya Chief Sultan Mzee...Mtaalamu wa Nyota za binadamu
 Ona Maajabu ya Chief Sultan Mzee  Mtaalamu wa Nyota za binadamu Africa Mashariki na dunia nzima, Amewasaidia watu wengi kujua nyota zao na jinsi ya kuzing'arisha, Anarudisha Mpenzi,Mume,Mke mliyeachana NDANI ya masaa manne(4) tu, Anaweza kuongeza ROMANCE n...

Post has attachment
Video: SportPesa wametupa ujanja wa nje ya uwanja – John Bocco
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na kikosi cha wekundu wa msimbazi,Simba SC, John Bocco ameeleza namna alivyofurahishwa kwa kufika katika ofisi za wadhamini wao ambao ni kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa na kutumia nafasi hiyo kujifunza vit...

Post has attachment
Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama, wilayani Sengerema AJINYONGA
Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benerdicto Lweikiza (45) amejinyonga hadi kufa akiwa chumbani kwake. Taarifa za kujinyonga kwa mwalimu huyo zilianza kusambaa wilayani Sengerema na kuthibitishwa na Mk...

Post has attachment
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob Kutoa Posho zake Zote Kwa Wajasiriamali...
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amesema kuanzia Oktoba, posho zote anazopewa kama stahiki yake, zielekezwe kwenye mafunzo ya wajasiriamali.
Wait while more posts are being loaded