Profile cover photo
Profile photo
Musa Shigela
58 followers
58 followers
About
Posts

Post has attachment
KESSY ARUHUSIWA KUKIPIGA YANGA RASMI!
Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji imepitisha usajili wa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni pamoja na kuidhinisha jina la mchezaji Hassan Kessy kuichezea Young Africans. Hii ni kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas.  Kessy alikuwa katika...
Add a comment...

Post has attachment
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!
Maji mapya  ya simba simba ambayo yanaandaliwa kwaajili ya kuwafanya mashabiki waichangie timu yao.
Add a comment...

Post has attachment
AZAM FC ILIVYOITOA NISHAI YANGA NA KUTWAA NGAO YA JAMII
Azam FC wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Jamii kwa uifunga Yanga kwa penati 4-1, leo kwenye Uwanja wa Taifa baada ya timu hizo kumaliza kwa sare ya mabao 2-2. Yanga ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupata mabaop yake kupitia kwa Donald Ngoma ambapo mpaka da...
Add a comment...

Post has attachment
BASATA YAFAFANUA KUHUSU NAY WA MITEGO KUTOKA KIFUNGONI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)
limemfungulia Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa
jina la Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za Sanaa baada ya kuwa ametekeleza
adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia. Aidh...
Add a comment...

Post has attachment
MBUNGE MAHAMOOD MGIMWA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASIKAZINI
Na Fredy Mgunda, Iringa Mbunge wa Mufindi Kusini Mahamood
Mgimwa ameweza kugawa vifaa mbalimbali vya michezo kama alivyowahidi kwa Vijana
na timu   za Jimbo hilo huku akitaka
michezo yote kuendelezwa. Mgimwa ametekeleza ahadi hiyo katika
Vijiji mbalimbali v...
Add a comment...

Post has attachment
NAIBU WAZIRI WA AFYA DK. KIGWANGALLA ALIPOFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KITUO CHA CHESA
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi   Kigwangalla, jana alifanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha
COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY- (CHESA) kilichopo Upanga,
Wilayani   Ilala, jijini Dar es salaa...
Add a comment...

Post has attachment
MADAI YA MANJI KUJIUZULU, MZEE AKILIMALI AMEAMUA KUWAOMBA RADHI WANAYANGA
Wakati
sekeseke la Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kudaiwa kujiuzulu nafasi yake
hiyo, mwanachama mkongwe wa klabu hiyo, Ibrahim Omary Akilimali maarufu kwa
jina la Mzee Akilimali ametoa kauli tata juu ya sakata hilo. Wakati huu
ambapo Manji hatatoa tamko ...
Add a comment...

Post has attachment
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO MAKAO MAKUU YA YANGA BAADA YA MANJI KUJIUZULU
Kutokana na
taarifa kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuamua kujiuzulu katika nafasi
hiyo, kumekuwa na hali ya sintofahamu ndani ya klabu hiyo, hizi ndivyo pichani
hali halisi ilivyo ndani ya makao makuu ya klabu hiyo muda mupi uliopita. Ambapo wanacham...
Add a comment...

Post has attachment
BAADA YA TAARIFA YA MANJI KUJIUZULU, WANAYANGA WATIKISIKA
Mapema leo
kuliibuka taarifa kuwa Yanga inaweza kumpoteza mwenyekiti wake Yusuf Manji ambaye
inadaiwa kuwa anataka kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kusitisha kusudio lake
la kuichukua na kuendesha kibiashara timu ya Yanga na nembo yake.    Habari hiyo
ime...
Add a comment...

Post has attachment
USAIN BOLT ALIVYOWEKA REKODI OLIMPIKI RIO 2016
Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt, ameandikisha historia ya
kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali   ya dhahabu kwa mara ya tatu mfululizo, katika
mbio za mita 100, kwenye michezo ya Olimpiki ya Rio 2016. Bolt, 29, amechukua muda wa sekunde 9.81 katika...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded