Profile cover photo
Profile photo
Hassan Salum
18 followers
18 followers
About
Posts

Post has attachment

Post has attachment
Ndoa ya Masele Yampa Wakati Mgumu MC Pilipili
Mc Pilipili. Mchekeshaji na mshereheshaji  (MC) bora wa mwaka 2017
aliyeshinda tuzo ya Instagram Party, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’,
ameshindwa kuweka wazi ni lini atafunga ndoa na mchumba wake, Rose
Ndauka, kufuatia mchekeshaji Crispin Lyogello ‘Mase...
Add a comment...

Post has attachment
Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Pakistan Sabeen Mehmud ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu Karachi. Alivamiwa
na watu wasiojulikana alipokuwa akielekea nyumbani kwake baada ya
kuandaa warsha kuhusu kuhusika kwa jeshi la Pakistan ka...
Add a comment...

Post has attachment
Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli
Sherehe zimefanyika eneo la
Gallipoli nchini Uturuki kuadhimisha miaka mia moja tangu uvamizi wa
kijeshi uliofanywa eno hilo na wanajeshi wa muungano wakati wa vita vya
kwanza vya dunia. Zaidi ya watu 100,00 waliuwa kwenye uvamizi huo ulioendeshwa dhidi ...
Add a comment...

Post has attachment
Kijana aliyewavamia polisi auawa Israel
Polisi nchini Israeli wanasema kuwa
wamemuua kwa kumpiga risasi kijana mmoja wa Kipalestina ambaye alikuwa
na kisu kwenye kizuizi kimoja mashariki mwa Jerusalem. Wanasema
kuwa kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 alijaribu kuwadunga kisu
maafisa wa mpaka...
Add a comment...

Post has attachment
**
Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo magharibi mwa Nepal. Shirika
la utafiti la Marekani liliseme kuwa tetemeko hilo la vipimo vya 7.9
lilikumba eneo lililo umbali wa kilomita nane mashariki mwa Pokhara
magharibi mwa mji mkuu wa Kathmandu. Kuna ...
Add a comment...

Post has attachment
Serikali ya Kenya yamteua kamanda mpya wa Polisi katika mji wa Garissa.
Wakati hali ya usalama ukiendelea kuyumba nchini Kenya Serikali ya
nchi hiyo imetangaza mabadiliko upande wa usalama ili kuepuka na
mashambulio yatakayofanywa na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen dhidi ya
miji mikubwa nchini humo. Kamishna
mkuu wa Polisi ...
Add a comment...

Post has attachment
**
Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa Wapiganaji wa Kiislaam
pamoja na makundi ya wapinzani wamefanya mashambulio katika vituo vya
jeshi la utawala wa Asad yalioko katika mkoa wa Idlib. Makundi
ya wapiganaji wa upinzani pamoja Makundi ya wapiganaji w...
Add a comment...

Post has attachment
Mwanaume aliyepatikana na hatia ya Kumtukuna Mtume auawa katika mji wa Jamame mkoani Lower Jubba.
Katika uwanja mkubwa wa wazi ulioko katika mji wa Jamame mkoani Lower
Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia ameuawa mwanaume aliyemtukana Mtume
Mohamed صلي الله عليه وسلم Mtukufu wa Daraja. Mamia
ya wananchi wa Kiislaam walijitokeza katika Uwanja huo unaoju...
Add a comment...

Post has attachment
Usilolijua kuhusu Gazeti la Annur! (Sehemu ya Pili)
Kwa mara nyingine tena Msomaji wa Mtandao wa Kiislaam anaendeleza
maudhui yake ya kuwazindua ndugu zake Waislaam wasio ufahamu zaidi
kuhusu Gazeti linalojinasibisha kuwa ni Sauti ya Waislaam,huko Mwandishi
wa Makala hii akikana dhana hiyo ya kuinasibisha...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded