Profile cover photo
Profile photo
ALLY KINGO
23 followers
23 followers
About
ALLY KINGO's posts

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO JULY 21,2017
KINGOTANZANIA 0752881456

Post has attachment
Rais Magufuli: Sh200 milioni za mradi wa maji jeshini zitumike kwa wananchi
Kagera.  Rais John Magufuli ameagiza Sh200 milioni zilizopangwa kutumika katika mradi wa maji katika kambi ya jeshi zianze kuimarisha miradi ya maji kwa  wananchi kwanza. Akizungumza leo, Alhamisi Julai 20  katika ziara  yake akiwa ameambatana na Rais wa Bu...

Post has attachment
Anna Mghwira amtolea uvivu Lowassa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kuwa njia aliyoitumia aliyekuwa mgombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu uliopita kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ilikuwa ni aina fulani ya ...

Post has attachment
Rais Magufuli achangia ujenzi wa dirisha alilovunja
Rais John Magufuli ametoa Sh1milioni kwa ajili ya kutengeneza dirisha la bweni alilolivunja wakati akiwa kidato cha pili pamoja na madirisha mengine yanayohitaji matengenezo. Rais Magufuli amesomea elimu ya sekondari katika Seminari ya Mtakatifu Karoli Lwan...

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO JULY 20,2017
KINGOTANZANIA 0752 881 456

Post has attachment
Kamanda wa Trafiki mkoani Pwani atumbuliwa
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Jeshi la Polisi kumuondoa katika nafasi ya Mkuu wa Polisi, Usalama Barabarani (RTO) Mkoa wa Pwani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kutokana kwa kushindwa kusimamia sheria za usalama ...

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO 19/7/2017


Post has attachment
Kilichomuua Mke wa Mwakyembe
Linah ambaye alikuwa amelazwa akitibiwa katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salam kwa muda mrefu, anatarajiwa kuzikwa keshokutwa wilayani Kyela mkoa wa Mbeya, familia ilisema zaidi jana. Linah ameacha mume na watoto watatu. Msemaji wa familia ya W...

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO, JULY 17,2017
KINGOTANXANIA 0752881456

Post has attachment
Korea Kusini yataka mazungumzo ya kijeshi na Korea Kziniaska
Haki miliki ya picha CHUNG SUNG-JUN Image caption Korea Kusini yataka mazungumzo na Korea Kaskazini Korea Kusini imependekeza kufanyika mazungumzo ya kijeshi na Korea Kaskazini, baada ya majuma kadhaa ya msukosuko, kufuatia hatua ya Korea Kaskazini ya kufan...
Wait while more posts are being loaded