Profile cover photo
Profile photo
Evarist Chahali
2,445 followers
2,445 followers
About
Communities and Collections
Posts

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
Rugemalira, Singasinga Kortini: JPM Amethubutu, Tumuunge Mkono Katika Vita Hii
Katika Tanzania yetu ya zama hizi ambapo takriban kila jambo linaanglaiwa kwa jicho la kisiasa, ni vigumu sio tu kusimamia ukweli bali pia kukwepa lawama kutoka kwa pande mbili kuu za siasa zetu: CCM au Upinzani. Sie tusio na vyama, tukikosoa masuala yanayo...

Post has attachment

Post has attachment
#RipotiYaMchanga Uchambuzi Kuhusu Tulikotoka,Tulipo Na Tuendako, Na Nini Kifanyike
Kwanza,
bila kujali ukada wa CCM au Chadema au kutokuwa kada, ni muhimu kutambua kuwa
katika Tanzania yetu ya sasa – na pengine katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu –
alichofanya Rais John Magufuli kinastahili pongezi. Ofkoz,
alichofanya ni kazi yake, tunaml...

Post has attachment
Missing You So Much Mama: Kumbukumbu Ya Miaka 9 Ya Kifo cha Marehemu Mama Chahali
Mama mpendwa,ilikuwa siku kama yale leo,miaka tisa iliyopita,uliondoka hapa duniani wakati tunakuhitaji sana. Japo miaka tisa inaweza kuonekana ni muda mrefu kusahau machungu,kwangu mwanao imeshindikana. Kila siku ya Mungu ninaposali kukuombea pumziko na ra...

Post has attachment
#RipotiYaMchanga CCM Haiwezi Kukwepa Lawama Katika Ujambazi wa Utoroshaji Madini Yetu
Juzi tumesikia ripoti kuhusu mchanga wenye madini unaosafirishwa nje ya Tanzania yetu (well, kuna jina la kitaalamu lakini sio la muhimu kulinganisha na athari kubwa za usafirishwaji wa mchanga huo). Kwa baadhi ya wenzetu, taarifa hiyo imewashtua mno, na ku...
Wait while more posts are being loaded