Profile cover photo
Profile photo
Pamoja Blog
372 followers
372 followers
About
Pamoja's posts

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARY 21, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Post has attachment
MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MBULU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Mbulu mkoani Manyara, Februari 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimiana wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Singiland wilayani...

Post has attachment
Balozi Kilumanga atunikiwa Tuzo Visiwani Comoro
 Balozi wa Tanzania kwenye Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Chabaka Kilumanga akitunukiwa Nishani ya Juu (highest civilian honor) na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani hivi karibuni.  Nishani hiyo imetolewa na Mhe Azali  kwa kutambua mchango wa Balo...

Post has attachment
Viongozi watatu kwimba wakamatwa na polisi kwa kumlinda mmiliki wa mitambo ya gongo.
Zaidi ya lita 300 za pombe haramu aina ya gongo, mapipa 13 na mitambo 7 inayotumika kutengenezea pombe hiyo, imekamatwa katika kijiji cha nyang’honge wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, huku viongozi watatu akiwemo afisa mtendaji wa kijiji hicho wakikamatwa kwa...

Post has attachment
KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo Feb 20, 2017.   Katibu Mkuu wa CC...

Post has attachment
AWAMU YA PILI YA MAFUNZO YA WAJASILIAMALI WANAWAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM YALIO CHINI YA TAASISI YA MANJANO YAENDELEA
Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila Akitoa Mada kwenye Mradi wa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali kupitia Taasisi ya Manjano Foundation. Mafunzo hayo yalianza wiki iliyopita kwa lengo la kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania k...

Post has attachment
Wanasheria wa CHADEMA Wamtaka Mbowe Asijisalimishe Polisi
Wanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamesema wamemshauri Mwenyekiti wao wa Taifa, Freeman Mbowe, asiende kuripoti polisi leo. Mwanasheria wa Chadema, John Mallya, amesema Mbowe hatakwenda kuripoti polisi leo kwa sababu amefungua kesi ...

Post has attachment
WAWILI WAPOTEZA MAISHA JIJINI MWANZA KWA KUKOSA DAWA ZA KULEVYA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga amesema watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha mkoani Mwanza kwa sababu ya kukosa dawa za kulevya mtaani kama walivyozoea. Kamishna Sianga amesema taarifa hiyo ameipata kuto...

Post has attachment
MAJALIWA AFANYA ZIARA BABATI NA MBULU
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sukari na nishati ya kuni inayotengenezwa kwa kutumia makapi ya miwa inayokamuliwa katika kiwanda cha sukari cha Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho Februari 19, 2017.  Kuni hizo zina ubora unaofanana na ule wa...

Post has attachment
PICHA : MAPYA YAIBUKA MWANAMKE ALIYEFUKUA KABURI LA MWANAYE
 Siku chache baada ya Ruth Segeleti (52) kufukua kaburi la mtoto wake, Baraka Mwafongo (22) kwa imani kwamba angefufuka baada ya siku tatu, imeelezwa kwamba mama huyo alifanya hivyo akidaiwa kwamba aliota kuwa mtoto wake atakuwa nabii. Akisimulia maisha ya ...
Wait while more posts are being loaded