Profile cover photo
Profile photo
Ally Salum
134 followers
134 followers
About
Posts

Post has attachment
SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 15/2/2016
Add a comment...

Post has attachment
Mwanamke, kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyewe
Naongea hivi maana wanawake wengi wa leo tunashindwa kutofautisha mume
na mtu mpita njia au kwa maneno mengine mtu usie na uhakika nae kwamba
mtaishi wote kama mume na mke. Unakuta mwanamke keshaolewa badala ya kumshauri mume wake wajenge future
yao ya b...
Add a comment...

Post has attachment
HAYA NDO MAJESHI 10 HATARI ZAIDI DUNIANI
                                                                Wanajeshi wa Korea Kusini wakifanya mazoezi.  .                                                                                                 Wanajeshi wa Uturuki. .                          ...
Add a comment...

Post has attachment
Nimegundua Mimi na Baba Yangu Mzazi Tunashare Msichana Mmoja Bila Kujua...
Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko
nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani. Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani
(sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusi...
Add a comment...

Post has attachment
HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYO POKELEWA NA UMATI MKUBWA WA WATU MJINI TURKANA NCHINI KENYA
Outside the airport!!....Nje ya Airport ya TURKANA LODWAR KENYA wakati tunatoka na njiani
Add a comment...

Post has attachment
Official VIDEO | Darassa Ft. Rich Mavoko - Kama Utanipenda
Add a comment...

Post has attachment
Mfanyakazi wa Tanesco wilayani kilosa apata kichapo kutoka kwa wananchi.
Wananchi
wa kijiji cha Lumuma wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameandamana kwa
kufunga barabara na kumpiga mfanyakazi wa shirika la ugavi wa umeme
Tanesco wakilalamikia shirika hilo kupitisha nguzo za umeme kwenye
mashamba yao kupeleka nishati hiyo kat...
Add a comment...

Post has attachment
Rais Magufuli awahamisha watumishi wa afya katika jengo la muhimbili, ili kina mama wanao lala chini waweze kutumia jengo hilo
  Agizo la Rais Magufuli kuwataka watumishi wa Muhimbili kuhama ofisi
ndani ya siku mbili ili kuwaachia majengo wagonjwa waliokosa nafasi
hospitalini hapo laanza kutekelezwa. Rais alitoa agizo hilo alipoenda kumjulia hali Mufti mkuu wa Waislamu
Tanzania,...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS MAGUFULI AMFANYA KINGUNGE KUVUNJA AHADI YAKE...NAKUTOA KAULI HII
Utendaji wa Rais John Magufuli baada ya siku 100 tangu alipoanza
rasmi kazi kama kiongozi wa ngazi ya juu zaidi nchini, umezua mijadala
mingi huku asilimia kubwa wakimpongeza kwa kazi nzuri lakini wengine
wamesimama na yao. Muendelezo wa kuchukua maoni y...
Add a comment...

Post has attachment
BREAKING NEWZZZ.....MBUNGE WA ZAMANI EZEKIEL WENJE APATA AJALI
Gari lililokuwa likiendeshwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel
Wenje limepata ajali maeneo ya Magereza Bariadi mkoani Simiyu mchaba wa
leo baada ya kuacha njia na kugonga mtaro na kisha kuanguka. Ndani ya
gari hilo alikuwepo pia Mbunge wa VIti Ma...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded