Profile cover photo
Profile photo
HB Mtetezi (HB Mtetezi)
14 followers -
My name is Yahaya Hassan Haji Ndunda ( HB Mtetezi ) and i am live at Kigamboni Dar es salaam, Tanzania.
My name is Yahaya Hassan Haji Ndunda ( HB Mtetezi ) and i am live at Kigamboni Dar es salaam, Tanzania.

14 followers
About
Posts

Post has attachment
Hii Mpya Usipitwe na Matukio ya Bongo...
Add a comment...

Post has attachment
Gwajima: Operesheni hii ni ya kumshikisha mtu adabu
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima,
amezindua operesheni mpya aliyoipa jina la ‘Operesheni 81Mzizima’ huku
akimtaka mtu anayeitwa Daud Bashite ajitokeze hadharani kuthibitisha
uhalali wa vyeti vyake. Hivi karibuni, Askofu G...
Add a comment...

Post has attachment
Simba yaponea Chupu Chupu, mchezo ulikuwa hivi
SIMBA SC imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Mbeya
City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Simba inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 55,
baada ya kucheza mechi 2...
Add a comment...

Post has attachment
Kauli ya Lema baada ya kuachiwa kwa Dhamana na Mahakama
Hiyo ndiyo kauli ya mbunge wa Arusha godbless lema baada ya kuachiliwa kwa dhamana na mahakama ya arusha.
Add a comment...

Post has attachment
Sasa fanya haya ukitaka kuhama mtandao bila kubadili laini
Mobile Number Portability (MNP) Ni Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya
kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na namba yake ya awali
iwapo ataamua kuhamia mtandao mwingine wa simu za kiganjani nchini
Tanzania. Hudu...
Add a comment...

Post has attachment
Singapore kutangaza utalii wa Zanzibar
Balozi wa Singapore nchini, Tan Puay Hiang ameahidi kuitangaza Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar  katika sekta ya utalii ili kuimarisha
ushirikiano. Hiang ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali M...
Add a comment...

Post has attachment
Operesheni ya viroba inaendelea- Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema operesheni kuhusu pombe za viroba
inaendelea katika mikoa mbalimbali baada ya kupigwa marufuku Machi Mosi. Majaliwa amesema hayo katika kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza tangu Serikali kuhamia mjini hapa.  Amesema...
Add a comment...

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO 4 / 3 / 2017
MAGAZETI YA LEO 4 / 3 / 2017
MAGAZETI YA LEO 4 / 3 / 2017
hbmtetezi.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Nyumba ya Gwajima yapigwa picha
Dar es Salaam. Wakili  Peter Kibatala amesema polisi wamepiga picha
nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Askofu Josephat Gwajima. Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema jana kuwa mbali na
kupekuwa na kupig...
Add a comment...

Post has attachment
Polisi Pwani wakamata SMG na risasi 14
KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI, BONAVENTURA MUSHONGI. POLISI mkoa wa Pwani inamshikilia fundi ujenzi Khalid Mohamed (29),
mkazi wa Kibaha kwa Mathias akiwa na silaha aina ya SMG na risasi 14. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Bonaventura Mushongi, aliwaamb...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded