Profile cover photo
Profile photo
Che Guevara Mwakanjuki
356 followers
356 followers
About
Che Guevara's posts

Post has attachment
Ashauri Mahari Kulipishwa Kodi
MWALIMU wa somo la biashara katika skuli ya sekondari ya Chasasa Wete Pemba Ali Hamad Nondo, amezishauri Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ na Bodi ya Mapato Zanzibar ‘ZRB’ kuchukua kiwango cha fedha (VAT) kwenye vyeti vya ndoa, ikiwa ni njia nyengine ya kuku...

Post has attachment
TANZIA : Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia
Rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia leo hii. Marehemu alizaliwa tarehe 14.06.1920. Marehemu alikuwa Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar tokea mwaka 1972 hadi 1984. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema ...

Post has attachment
Mv Happy yazama karibu na Kisiwa cha Chumbe....
Meli ya mizigo iitwayo Happy ikitokea Dar es salaam kwenda Zanzibar imezama eneo la Chumbe, Unguja. Taarifa zimedai kwamba Meli hiyo ilianza kuzama saa 10 alfajiri baada ya kuingiza maji ndani na kukosekana kwa vifaa kama motor ya kutolea maji hayo kufikia ...

Post has attachment
Zanzibar's pioneering pension scheme.....
Tanzania’s semi-autonomous archipelago of Zanzibar has introduced a pension scheme for all citizens aged 70 and over. It is the first fully funded state pension in East Africa. Each pensioner will be entitled to 20,000 Tanzanian shillings ($9, £6) a month. ...

Post has attachment
Ulinzi Mkali Leo Kuelekea Polisi Ziwani...
Ni baada ya Maalim Seif kutakiwa kufika Polisi kwa kuhojiwa.

Post has attachment

Post has attachment
Maalim Seif Awasha Moto Upya Zanzibar
Maalim Seif Awasha Moto Upya Zanzibar.....Awataka Wananchi Wasilipe Kodi na Waandae Siku ya Mgomo. Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewasha moto upya visiwani Zanzibar kwa kuwahimiza wananchi kufanya vitendo vinavyoonyesha...

Post has attachment

Post has attachment

Post has shared content
Wait while more posts are being loaded