Profile cover photo
Profile photo
Michael Machellah
81 followers
81 followers
About
Posts

Post has attachment
MABONDIA SHOMARI MILUNDI RAMADHANI MIGWEDE WASAINI KUZIPIGA DAR LIVE SIKU YA NANENANE
Promota wa mpambano wa ngumi Zahoro Maganga katikati akiwanuwa mikono juu kuwatambulisha mabondia Ramadhani Migwede 'kushoto' na Shomari Milundi kulia kwa ajili ya mpambano wao wa agost 8 utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Picha na  SUPER D BOX...
Add a comment...

Post has attachment
MCL YAZINDUA JUKWAA LA FIKRA
  Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Francis Nanai(kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa “Jukwaa la Fikra”
litakalokuwa linakutanisha wadau wa sekta mbalimbali na wananchi ili kujadili
Mada mbal...
MCL YAZINDUA JUKWAA LA FIKRA
MCL YAZINDUA JUKWAA LA FIKRA
machellah.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
BONDIA VICENT MBILINYI AMCHIMBIA MKWALA BENSON NYILAWILA WA MBEYA
Na Mwandishi Wetu BONDIA Vicent Mbilinyi baada ya kukuu benchi mwaka mzima kwa kukimbiwa na kuo gopewa na wambinzani wake mbalimbali katika uzito wake sasa amerudi tena kwa kasi ya ajabu baada ya mwanzo wa mwezi mei kumtwanga bila ya huruma bondia Hussein S...
Add a comment...

Post has attachment
BONDIA IDD MKWERA AMPIGA KWA K.O RAMADHANI SHAURI
Bondia Idd Mkwera kushoto akipambana na ramadhani Shauri wakati wa mchezo wao uliofanyika mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera alishinda K.O ya raundi ya 9 Picha na  SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BONDIA Idd Mkwera ameibuka kidedea baada ya k...
Add a comment...

Post has attachment
BONDIA IDD MKWERA ALIVYO MSAMBALATISHA RAMADHANI SHAURI MEI 4 TAIFA
BONDIA IDD MKWERA ALIVYO MSAMBALATISHA RAMADHANI SHAURI MEI 4 TAIFA Bondia Ramadhani Shauri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Idd Mkwera wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa mei 4 Mkwera alishinda k...
Add a comment...

Post has attachment
KOCHA SUPER D AZUNGUMZIA MPAMBANO WA SHAURI NA MKWERA
Kocha wa kimataufa wa mchezo wa masumbwi nchini  Mhamila Rajabu akizungumza na wana habari kuhusu mpambano wa Ngumi kati ya  Iddy Mkwella  na  Ramadhan Shauri  utakaofanyika kesho mei 4/5/2018 katika uwanja wa ndani wa taifa indoor stadium
Add a comment...

Post has attachment
IDDY MKWERA NA RAMADHANI SHAURI WAPIMA UZITO KWA KUZIPIGA KESHO TAIFA
Bondia Idd Mkwera akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa kushoto ni mpinzani wake Ramadhani Shauri Picha na  SUPER D BOXING NEWS Promota wa mchezo wa ngumi Evalist Ernest  katiakati akiwainua mikono juu bondia Rama...
Add a comment...

Post has attachment
SUPER D AMNOWA IDD MKWERA KUMKABILI SHAURI MEI 5 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwera kulia kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika mei 4 mwaka uhu utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Mkwera atazipiga na Ramadhani Shauri mpambano w...
Add a comment...

Post has attachment
VICENT MBILINYI AJINOWA KUMKABILI HUSSEIN SHEMDOE MEI MOSI
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia vicent Mbilinyi kwa kumuelekeza kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake na Hussein Shemdoe utakaofanyika katika ukumbi wa mus...
Add a comment...

Post has attachment
Si Ngumi tu, Hata Soccer Naweza.
  Mchezaji wa
timu ya Dame Boxing, Boxer, Abdallah Pazi “Dullah Mbabe”(kulia) akikabiliwa na
walinzi wawili wa timu ya Wakuvesha zote za Mwananyamala wakati wa Bonanza
lililoandaliwa na Vijana CCM Tawai la Mwanjuma Mwananyamala jijini Dar es
Salaam.Timu ya ...
Si Ngumi tu, Hata Soccer Naweza.
Si Ngumi tu, Hata Soccer Naweza.
machellah.blogspot.com
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded