Profile cover photo
Profile photo
Bashir Nkoromo
476 followers
476 followers
About
Bashir's posts

Post has attachment
KANALI MSTAAFU NGEMELA LUBINGA AZURU UHURU NA MZALENDO NA UWT LEO
Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Kanali Mstaafu, Gemela Lubinga leo amefanya ziara katika Taasisi za CCM,  Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, na Makao Makuu ya Jumui...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
ZIARA YA MKURUGENZI WA NAMAINGO KUIMARISHA UJASIRIAMALI MIKOANI
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika mikoa mbalimbali nchini. Tayari hadi leo ameshafanya ziara katika mikoa ya Iring...

Post has attachment
KATIBU WA NEC-SUKI, KANALI MSTAAFU NGEMELA AZURU UHURU FM LEO
Leo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amezuru kituo cha Radio cha CCM, Uhuru FM, mtaa wa Lukoma, jijini Dar es Salaam, na kuzungumza na uongozi baada ya kuona baa...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
UNESCO YOUTH FORUM WAENDESHA SEMINA YA KUWAELEKEZA VIJANA NAMNA YA KUSHIRIKI KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI ZA UMOJA WA MATAIFA,CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO JIJINI DAR
Bwana Jackson Oganga akiwa anatoa maelezo kwa vijana jinsi ya kupata 'Scholarship' katika zinazotolewa sehemu mbalimbali. Mwakilishi wa Asasi ya Kiraia  Global Peace Foundation (GPF) Tanzania
aliyewakilisha katika Semina hiyo Bi. Anna Mwalongo akielezea kw...

Post has attachment
VIDEO: VIDEO: WAZAZI WALAZIMISHWA KUCHIMBA KABULI, WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU
Wakazi wa mtaa wa Namanyingi kata ya Mshangano katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, wamewalazimisha mume na mke kuchimba kabuli la mtoto wao aitwaye Danroad Mahundi mwenye umri wa miaka 36 ambaye inadaiwa wazazi hao wamemua kwa njia za kishirikina.
Wait while more posts are being loaded