Profile

Cover photo
Sigfred Kimasa
Works at King Kif Productions
Lives in Dar es Salaam
2,091 followers|5,438,290 views
AboutPostsPhotosVideos

Stream

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
MAGUFULI AMBURUZA LOWASSA URAIS 2015

1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
CM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWA LOWASA
Katibu wa CCM Mkoa Mjini Mohammed Omar Nyawenga akitoa taarifa ya Chama hicho kwa Waandishi wa Habari kuhusu kujitoa ndani ya Chama Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika mkutano uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui. Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Bor...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
MASWALI YAZIDI MAJIBU KUHUSU DK SLAA, MNYIKA...
Hofu imetanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wananchi kwa ujumla kutokana na kutoonekana kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, katika matukio mawili makubwa ya kisiasa yanayohusu mustakabali wa chama hicho. Dk. Slaa ha...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 9 WA WAKE WA MARAIS......
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyetta huko Nairobi kuhudhuria mkutano wa 9 wa Wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia magonjwa ya saratani ya matiti, shingo ya kizazi na tezi dume tarehe 20.7...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
RATIBA YA KURA YA MAONI MAJIMBO YA KANDA ZOTE NDANI YA CHADEMA
IMECHOTWA NA VICTOR SIMON Read more...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
MILIONI 50 KUTOLEWA KWA ATAKAYEFANIKISHA KUKAMATWA MAAMBAZI WALIOVAMIA STAKISHARI
Muonekano wa Kituo cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kilichovamiwa na majambazi. Askari polisi akidumisha ulinzi kwenye kituo hicho. JESHI la Polisi nchini leo limetangaza zawadi nono ya shilingi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa maja...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
Bye Bye Dk. Slaa...!
Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa, (pichani) ambaye amekuwa ni kama alama ya chama hicho, anaweza kuwa ndiyo mwisho wake kufuatia ujio wa...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
VANESSA WA KIMATAIFA
Vanessa Mdee ‘Vee Money. Na Saphyna Mlawa UKITAJA listi ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa kimataifa basi Vanessa Mdee ‘Vee Money’ linakuwa jina namba moja.Vanessa, 27, ambaye ameanza muziki ‘juzi’ sasa anaonekana kama mkongwe na kuwapita baadhi ...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
MAGUFULI AENEDELEA KUJITAMBULISHA NA KUWASHUKURU WANACHI WA CHATO MPAKA DODOMA KWA KISHINDO.
     Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa  furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wa...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
HEBU CHEKI JINSI MHE.KIKWETE APOKEA HUNDI YA BIMA YA MAISHA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hundi ya malipo ya Bima ya Maisha(Flexi Provider) kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa(National Insurance Corporation of Tanzania Limited) NIC Bwana Sam Kamanga ikulu jijini Dar es Salaam julai 21,...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
WAZIRI ATEUA MKURUGENZI MKUU MPYA
Dk. Ally Y. Simba Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua Dk. Ally Yahaya Simba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) kufuatia mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu kama ilivyoainis...
 ·  Translate
1
Add a comment...

Sigfred Kimasa

Shared publicly  - 
 
HAYA HAPA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI BAADA YA KUGAWANYWA

 ·  Translate
1
Add a comment...
People
Have him in circles
2,091 people
Michael Burris's profile photo
Simon “H Pisces” Weiss's profile photo
Guianea del NEA's profile photo
Mango Tree Bar & Lounge's profile photo
Lightness Orio's profile photo
Bob Brown's profile photo
mnyuss thabit's profile photo
‫علي غانم‬‎'s profile photo
Mthetho Mbatha's profile photo
Places
Map of the places this user has livedMap of the places this user has livedMap of the places this user has lived
Currently
Dar es Salaam
Links
Other profiles
Contributor to
Story
Tagline
Blogger/Managing Director at King Kif Productions
Work
Employment
  • King Kif Productions
    Managing Director, present
Basic Information
Gender
Male