Profile cover photo
Profile photo
KIMU TV (tzagriculture)
11 followers
11 followers
About
Posts

Post has attachment
FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA ASDP 11
(Picha ya Kulia) Mratibu wa ASDP II Bwana Zakharia Muyengi akitoa elimu namna ya Program hiyo  itakavyotekelezwa kupitia vipaumbele vyake vikuu vinne. Wataalam   kutoka   Wizara   za
Sekta ya Kilimo, Taasisi za Serikali na Sekta binafsi wamekutana kwa pamoj...
FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA ASDP 11
FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA ASDP 11
kilimotaarifa.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Wizara ya Kilimo Kuja na Mkakati Kabambe wa Kuinua Zao la Chai Nchini
Hayo yamesemwa na
Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa alipokuwa akiongea na Wananchi
na wanachama wa Chama cha Ushirika cha wakulima wa Chai katika kijiji cha
Mkonge wakati wa ziara yake ya kutembelea wakulima wadogo na wakubwa wa Chai
Wilayani M...
Add a comment...

Post has attachment
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AIAGIZA NFRA KUNUNUA MAHINDI
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe, leo tarehe 07 Januari 2019, ameuagiza
uongozi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuendelea kununua
mahindi ya wakulima kwa bei ya sh. 450 kwa kilo.  Mhandisi Mtigumwe ametoa
agizo hilo w...
Add a comment...

Post has attachment
WIZARA YA KILIMO IPO KATIKA MAPITIO YA SIFA ZA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA – MHANDISI MTIGUMWE
Wizara
ya Kilimo ipo katika mapitio ya sifa za viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini
ili kupata viongozi watakao ongoza kwa weledi sekta ya Ushirika. Dhana
ya kuchagua viongozi wa ushirika wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika
imepitwa na wakati hivyo kuna...
Add a comment...

Post has attachment
SERIKALI KUSAINI MIKATABA YA UBANGUAJI WA KOROSHO JANUARI 10
Serikali imesema kuwa
tarehe 10 Januari 2019 itasaini mikataba na wamiliki wa viwanda vya ubanguaji
wa korosho waliojitokeza kwa ajili ya kubangua korosho za serikali za msimu wa
mwaka 2018/2019 zilizonunuliwa na serikali kwa bei ya Shilingi 3300 kwa kilo. ...
Add a comment...

Post has attachment
IFIKAPO JUNI 2019 WAKULIMA WOTE WATAKUWA WAMESAJILIWA NA KUWA NA VITAMBULISHO – MHE HASUNGA
Wizara ya Kilimo imeanza kuandikisha wakulima nchini kwa lengo
la kuwatambua ili kuwarahisishia huduma mbalimbali zikiwemo uhitaji wa pembejeo
za kilimo. Waziri wa Kilimo Mhe
Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo wakati akizungumza na Wenyeviti na makatibu
wa ...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MKUU AFUNGUA SOKO LA MAZAO SONGEA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa  amefungua mradi wa maghala ya kuhifadhi nafaka
na soko la mazao la OTC-Lilambo katika Halmashauri ya Songea uliogharimu sh.
bilioni 1.5. Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameazimia kuwawezesha wakulima
kuwa na mahala pa uhakika p...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Waziri Hasunga aziagiza Bodi za Mazao nchini kuwasajili Wakulima wote
Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga (Mb)  amewaagiza
Wakurugenzi wa Bodi za Mazao kuanza mara moja zoezi la kuwatambua na kuwasajili
wakulima wa mazao yote nchini lengo likiwa kuwatambua ili kupanga mipango
sahihi yenye kuongeza tija na uzalishaji katika ...
Add a comment...

Post has attachment
Tanzania ina ziada ya Tani 3,013,515 ya mazao ya chakula – Mhe Hasunga
Kwa mliganisho wa mahitaji na uzalishaji nchi ina ziada ya tani
3,013,515 na imejitosheleza kwa asilimia 123 na 120 mtawalia ambapo uzalishaji
katika msimu wa 2016/2017 na 2015/2016 ulikuwa tani 15,900,864 na 16,172,841
mtawalia ambapo mahitaji ya chakula y...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded