Profile cover photo
Profile photo
Twiga Mbunda (twigagalleysf)
12 followers -
twiga.
twiga.

12 followers
About
Posts

Post has attachment
Twiga Mbunda (twigagalleysf) commented on a post on Blogger.
Kwa nini tunapeleka kahawa mnadani badala yakujitafutia soko moja kwa moja ?
Kwa nini tufanye mnada Moshi?
Add a comment...

Post has attachment
Twiga Mbunda (twigagalleysf) commented on a post on Blogger.
Commenting is disabled for this post.

Post has attachment
Twiga Mbunda (twigagalleysf) commented on a post on Blogger.
Mbona serikali mko kimya. Uranium inapelekwa wapi, mabomu ya kuangamiza taifa, yanatoka Africa bure bila hata senti nano, na Mbinga ni Maskini sana. Je Magufuli analijua hili?
Add a comment...

Post has attachment
Twiga Mbunda (twigagalleysf) commented on a post on Blogger.
Unesema cha kushangaza badala ya kuisifia ili msaidie pia. Uandishi wenu hautazaa matunda. Mwandishi andika ujumbe ili jamii na serikali isaidie jamii. Aliyejenga halipwi wala hafaidiki. Faida ya uandishi mzuri ni kutoa elimu kwa jamii, na kusaidia jamii huu uandishi ni hasi.
Hongera Twiga kupata usajiri kwa tambu na kusumbuliwa kwa miaka mingi. Tumeahidiwa Walimu bado ni shida, Hii ni shule ya umma inayojitahidi kuondoa matatizo ya kijamii na watu waamke watuunge mkono. Mbinga Wabunge mmeombwa mtusaidie walimu muda mrefu sana, Tunaomba vyama visaidie hawa ni watoto wetu sote.
Napenda shule ya Twiga.
Add a comment...

Post has attachment
Twiga Mbunda (twigagalleysf) commented on a post on Blogger.
Inasikitishwa kwa sababu kwa miaka mingi tulisumbuka sana kupata kibali na serikali kusumbua. Sasa shule inakibali. Mnajua shule hii ni msaada kwa mbinga na watu wamejitolea bure kuijenga? ebu andikeni habari vizuri ili watu wote wa Tanzania wenye upendo na huruma wasaidie kuiendesha kwa michango. Mwandishi usiandike kwa uchochezi na ubaya,. Kama unania nzuri ya kusaidia toa habari yote na si nusunusu tu. Nimeijenga kwa kujitolea. Ebu itangazieni hii shule ni shule pekee ya kusini kujengwa na mtanzania bila maslahi kwa kusaidia umma. Msipoteshe umma na mjaribu kuisaidia kwa kuitangazia vizuri na Watanzania wajue ni Mtanzania mwenzetu kajitolea na Wamsaidie kimchango. Najivunia kazi yangu. Je mwenzangu umefanya jambo gani kwa kuikomboa jamii, Toa msaada Kwa Shule ya Twiga Ahsante.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded