Profile cover photo
Profile photo
Sophia Mbeyu
395 followers
395 followers
About
Posts

Post has attachment
Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi ajali ya Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi aliyewahi kuwa Naibu Waziri na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mpwapwa Mkoani Dodoma Bw. Gregory Teu kufuatia vifo vya watu 13 ambao ni ndugu wa familia yake wal...

Post has attachment
Zari-Diamond malizana na Balaa ulilolianzisha! Usinichezee!
Dar es Salaam. Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe. Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema ameshazungumza na mpenzi wake huy...

Post has attachment
Uwanja wa Ndege Dar kuunganisha nchi za EAC
MAMLAKA ya Usafi ri wa Anga (TCAA), imekusudia kuufanya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kuwa njia panda ya usafi ri wa anga katika eneo hili la Afrika Mashariki. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari aliyasema hayo jana jijini Dar es ...

Post has attachment
The truth set u free.. Diamond Platunumz afunguka mazito kuhusu mtoto wa Hamisa Mabeto
Dar es Salaam. Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema uhusiano wake na mwanamitindo Hamisa Mobeto umeidhalilisha familia yake hasa mama yake na mzazi mwenzake Zarina Hassan, maarufu Zari. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na kituo cha Redi...

Post has attachment
Vichwa vya Habari Magazetin leo Jumanne 19 September 2017

Post has attachment
Kila kitu kwa Bi Harusi
Pata idea ya kila kitu kuhusu Bi harusi, kuanzia nguo, Makeup, Bouquet na mengineyo mengi

Post has attachment
Madhara ya Sukari mwilini
Wote tunakubaliana kwamba sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku. Pamoja na umuhimu wake, lakini ni hatari kwa ustawi wa afya pale inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumika k...

Post has attachment
Kortini kwa kujifanya mwanamke ili aolewa
KIJANA aliyetambulika kwa jina la Sharifu Issah maarufu kama Zamda Salumu mkazi wa Manispaa ya Mtwara amefi kishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vitendo vya utovu wa kimaadili kwa kujifanya mwanamke na kumshawishi mwanamume mwenzake kufunga ndoa. Akisoma k...

Post has attachment
Ndoa ndoano! Mbwe mbwe za Sherehe za Harusi
   

Post has attachment
UJERUMANI YAISAIDIA TANZANIA SH. BILIONI 521 KUIMARISHA SEKTA MBALIMBALI ZA KIUCHUMI NA KIJAMII
Ujerumani imeipatia Tanzania kiasi cha Euro milioni 198.5 sawa na Sh. Bilioni 520.86 zilizotumika kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo ya Maliasili na Mazingira, Afya, Maji, Nishati, Udhibiti wa Fedha za Umma (Good Financial Governance) na Kusaidia Huduma za...
Wait while more posts are being loaded