Profile cover photo
Profile photo
SELEMANI MAGARI
96 followers -
SELLEMANI MAGALI
SELLEMANI MAGALI

96 followers
About
Posts

Post has attachment
COSTECH ILIVYOWANOA MAOFISA UGANI WA MKOA WA LINDI KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
  Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk.Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo chenye tija  kwa maofisa Ugani wa Mkoa wa Lindi kwenye Maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo mk...

Post has attachment
Serikali imekipatia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zaidi ya Sh. bilioni 6.7, SUMATRA YAKIPIGIA MFANO
Serikali imekipatia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
zaidi ya Sh. bilioni 6.7 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya
ufundishaji wa chuo hicho, ikiwemo kujenga madarasa na nyumba za walimu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
jana...

Post has attachment
LHRC yawafariji akina mama Muhimbili
Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamefanya ziara katika Wodi ya
Wanawake, Hospitali ya Taifa Muhimbili kuadhimisha Siku ya Mwanamke wa
Afrika pamoja na wanawake hospitalini hapo. Wafanyakazi
na uongozi wa LHRC waliadhimisha Siku ya Mwanamke w...

Post has attachment
Jaji Warioba: Viongozi Tumsaidie Rais Kutatua Kero
Na Judith Mhina – MAELEZO Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, anahitaji
kupata usaidizi wa kutosha kutoka kwa viongozi na hasa wasaidizi 
kuanzia ngazi ya nyumba kumi hadi taifa. Maneno
hayo yametamkwa na Waziri Mkuu mstaaf...

Post has attachment
KUJUA YALIYOJILI KWENYE RIPOTI YA NUSU MWAKA YA HAKI ZA BINADAMU SOMA HAPA
Ripoti
ya nusu mwaka na haki za binadamu iliyozinguliwa leo Jumatatu na Kituo
cha Sheria na Haki Binadamu (LHRC) inaonyesha bado hali si nzuri nchini. Mkurugenzi
mtendaji wakituo cha sheria na haki za binadamu Bi. Helen Kijobisimba
akiongea na waandishi...

Post has attachment
WAZIRI WA AFYA, KUTOA TAMKO LA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI DUNIANI
  Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,
akitoa tamko katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya  Homa ya Ini
Duniani wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini
Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni ...

Post has attachment
JIJI LA DAR CHINI YA UONGOZI WA CHADEMA LAPATA HATI SAFI KUTOKA KWA CAG
Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wajumbe wa
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya jiji, aliyekaa kulia ni Kaimu
Mkurugenzi wa jiji Waziri Kombo. NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJI HALMASHAURI
ya jiji la Dar es Sa...

Post has attachment
SHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAFUTA GHAFI TOKA HOIMA NCHINI UGANDA HADI TANGA KUFANYIKA AGOSTI 5, 2017
HABARI24 TV 10:06:00 AM Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani anawaalika
wananchi katika halfa ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la
mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania.

Uzinduzi huo unatarajiwa kufa...

Post has attachment
Maonyesho ya vyuo vikuu yafunguliwa Dar...CHUO CHA ACHARYA CHATANGAZA FURSA ZILIZOPO...YAWAKARIBISHA WATANZANIA KUTEMBELEA BANDA LAO
Ganesh G akifafanua jambo kwa Mwandishi wa habari mapema hivi karibuni... Meneja huyo amewakaribisha watu kwenda kupata taarifa muhimu kuhusiana na chuo cha Acharya kilichpo Nchini India Mwandishi wetu Meneja uhusiano wa Taasisi ya Acharya Institute of Tech...

Post has attachment
Breaking News: Bunge limeridhia kuvuliwa Uanachama Wabunge 8 wa CUF
    Siku
moja baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kupokea barua kutoka kwa
Mwenyekiti wa CUF Taifa anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili, Prof.
Ibrahim Lipumba inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabunge wanane wa Viti
Maalum na Madiwani wawili, Bunge limeridhi...
Wait while more posts are being loaded