Profile cover photo
Profile photo
khamisi musa
16 followers
16 followers
About
khamisi's posts

Post has attachment
VIJANA DAR ES SALAAM WAANZISHA KLABU ZA MABADILIKO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MASOKONI
Mwezeshaji wa Kisheria wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Mariam Rashid (kulia), akitoa mafunzo ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa vijana wafanyabiashara katika Soko la Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam kabla ya kufungua klabu za mabadiliko za ku...

Post has attachment
WANAWAKE KANISA LA PENTEKOSTE WAOMBA AMANI ILIYOPO NCHINI IDUMISHWE
  Mwenyekiti wa Muungano wa Wanawake wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (MMPT) Misheni ya Kijitonyama,  Maines Mhama (kulia), akimkabidhi maua mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wanawake wa kanisa hilo,  Anitha Mshighati  (katikati), mara baada ya kuwa...

Post has attachment
MAGAZETI YA LEO APRIL 24, 2017
 

Post has attachment
WAFARANSA WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS
Raia wa Ufaransa Jumapili (23.04.2017) wamemiminika katika vituo vya kupigia kura, huku usalama ukiwa umeimarishwa. Ni duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais, unaotazamwa kama kiashirio cha mustakbali wa Umoja wa Ulaya. Kiongozi wa chama cha siasa kali za mreng...

Post has attachment

Post has attachment
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI
NA
MWANDISHI WETU NAIBU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi
ya kuzalisha umeme wa   Gesi Asilia ya
upanuzi wa Kinyerezi I pamoja na ule wa Kinyerezi II. Akizungumza
katika ziara yake...

Post has attachment
WAUGUZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WASHEHEREHEKEA GET TOGETHER PARTY 2017
Mkurugenzi wa Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Agnes Mtawa (wa tano kushoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi wa hospitali hiyo Dae es Salaam Jana April 22, 2017. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog   Mkurugenzi wa ...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
KOREA KASKAZINI: TUMEJIANDAA KUIKABILI MAREKANI NA HATUTISHIKI NA MELI ZAKE ZA KIVITA
Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza utayarifu wake wa kukabiliana na hatua yoyote ya kichokozi ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini sambamba na kutangaza habari hiyo imesema kuwa, katika kufuatilia nyendo za Marekani, Pyongyang imejiand...
Wait while more posts are being loaded