Profile cover photo
Profile photo
RAS SINGIDA
5 followers
5 followers
About
RAS's posts

Post has attachment

Post has attachment
RC NCHIMBI AZIAGIZA HALMASHAURI ZA SINGIDA KUANZISHA MABWAWA YA UFUGAJI WA SAMAKI .
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema
Nchimbi (wa pili kulia) akishiriki kuvua samaki aina ya kambare kwenye bwawa
lililopo kwenye shamba la samaki la Mikumbi mjini hapa ikiwa ni sehemu ya
uzinduzi uvuvi kwenye shamba hilo.     Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Re...

Post has attachment

Post has attachment
MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo (mwenye kofia
nyeupe) akiongoza wakazi wa Manispaa ya Singida kuadhimisha miaka 53 ya
Muungano kwa kufanya usafi sehemu mbalimbali za mji wa Singida jana. Mwenye gloves
nyekundu ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Bra...

Post has attachment

Post has attachment
RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akitoa chanjo kwa mtoto wa umri wa siku nne ikiwa ni uzinduzi wa wiki ya chanjo Mkoani Singida mapema leo katika hospitali ya Sokoine manispaa ya Singida. Wazazi wanaoshindwa
kuwapeleka watoto kupata huduma za chanjo w...

Post has attachment
SINGIDA YAANZISHA MADAWATI YA SEKTA BINAFSI KILA HALMASHAURI.
Mkoa wa Singida
umeanzisha madawati ya sekta binafsi katika halmashauri zake saba za Mkoa ili
kuratibu changamoto na fursa zilizopo katika kuboresha sekta binafsi kwakuwa
zimekuwa zikichangia uchumi wa taifa kwa kiasi kikubwa. Mkuu wa Mkoa wa
Singida Dkt. R...

Post has attachment

Post has attachment
DKT. NCHIMBI AMUUNGA MONO RAISI KWA KUPIGA MARUFUKU MCHANGA WA DHAHABU YA SINGIDA KUSAFIRISHWA NJE YA NCHI.
Mkuu wa Mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza katika baraza la biashara la mkoa kwenye
ukumbi wa ofisi yake. Wa kwanza kulia ni mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Singida Kitila
Mkumbo na kushoto ni katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Anjelina Lutambi. Mk...

Post has attachment
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Kliniki Tembezi ya Madaktari Bingwa Wananchi wote mnatangaziwa kuwa kutakuwa na zoezi la kliniki tembezi ya madaktari bingwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kuanzia tarehe 3 April 2017 mpaka tarehe 7 April 2017. Madaktari bingwa wa magonjwa ya ...
Wait while more posts are being loaded