Profile cover photo
Profile photo
Woinde Shizza
465 followers
465 followers
About
Posts

Post has attachment
SHIRIKA LA PATHFINDER LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYETHAMANI YA ZAIDI YA MILIONI KUMI
 Meneja mradi wa shirika la PATHFINDER Amgelo Kihaga  akimkabidhi  Mkuu
wa wa wilaya ya Monduli.Idd Hassan Kimanta   vifaa  tiba ikiwa ni kitanda cha upasuaji (OPERATING BED) chenye thamani ya milioni
19,mikasi na nyembe  ,Shirika hilo hilo la
Parthfinde...
Add a comment...

Post has attachment
NIWAJIBU WA KILA MWANANCHI KULINDA AMANI YA NCHI
Na Woinde Shizza, Arusha Imebainika
kuwa Jukumu la kulinda na kuenzi amani ambayo ni tunu kwa taifa letu ni
la kil a wananchi na sio la serikali peke yake.   Hayo
yamebainishwa leo na mkuu wawilaya ya monduli Iddi kimanta akiongea na
wananchi Pamoja maa...
Add a comment...

Post has attachment
16 WANAODAIWA KUKWAPUA FEDHA ZA USHIRIKA WILAYANI HAI ,WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akizungumza wakati wa mkutano wa utoaji wa taarifa ya uchunguzi wa kamati iliyoundwa na mkuu huyo kuchunguza ubadhilifu wa fedha za Ushirika wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni. Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai O...
Add a comment...

Post has attachment
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE MAFUNZO MBALIMBALI ILI KUJIAJIRI
Na Woinde Shizza,  Arusha Wadau
wa Ujasiriamali mkoani Arusha wametakiwa kutoa ushirikiano sanjari na
kujitokeza katika mafunzo mbali mbali ya kada hiyo lengo likiwa kufikia
adhma ya serikali kufikia uchumi wa kati wa viwanda. Akizungumza
na waandishi w...
Add a comment...

Post has attachment
LUGHA YA KISWAHILI CHANGAMOTO YA UTABIBU WILAYANI KYERWA MKOANI KAGERA
  Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Dkt. Diocles Ngaiza, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu upatikaji wa dawa kutoka Bohari ya Dawa (MSD), mkoani humo mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mfamasia wa wilaya hiyo,  Dominic Malabeja.    Wauguzi wa Zahanati ya Ka...
Add a comment...

Post has attachment
UNAFAHAMU KUWA UNAWEZA KUPATA HUDUMA ZA AIR TANZANIA JUMIA TRAVEL?
Na Jumia Travel Tanzania Katika jitihada za kurahisisha huduma za usafiri wa anga nchini, Jumia Travel imewasogezea wateja huduma za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye mtandao wake. Tunapozungumzia huduma za usafiri wa anga kwa sasa nchini Tanzania ...
Add a comment...

Post has attachment
RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela pamoja na meneja wa uwanja wa nduli Anna Kibopile alipofanya ziara katika uwanja wa ndege wa Nduli kwa kufahamu maendeleo ya ukarabati mdogo wa uwanja huo na kub...
Add a comment...

Post has attachment
MPANGO :WATAALAMU WA MANUNUZI ZINGATIENI WELEDI KATIKA UTENDAJI
  Waziri wa fedha na mipango Dr.Philip Mipango akisalimiana na mwenyekiti wa bodi ya manunuzi Dr.   Hellen Bandiho wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wabobezi na wanunuzi wa umma hii leo uliofanyika katika ukumbi wa simba uliopondani ya jengo la mikutano la A...
Add a comment...

Post has attachment
Waziri wa Kilimo ataka kampuni za uwindaji wa Kitalii kuongeza michango kwa jamii
  waziri wa kilimo dk Charles Tizeba akizungumza na wafanyakazi  wa
taasisi ya friedkin conservation fund ambayo  inamiliki  vitalu kadhaa
vya uwindaji Waziri
wa Kilimo,Dk Charles Tzeba amezita kampuni za uwindaji wa kitalii
nchini,kuongeza michango ya ...
Add a comment...

Post has attachment
ARUSHA YAANZA KUONYESHA NJIA MADEREVA WASIOKUWA NA VYETI
Jeshi la Polisi
mkoani hapa kwa kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kanda ya Kaskazini
wamefanikiwa kutoa mafunzo kwa madereva 350 wa magari ya abiria ambao awali
walikuwa na Leseni pekee bila vyeti. Mafunzo hayo yaliyofungwa
na Mkuu wa Mkoa wa Aru...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded