Profile cover photo
Profile photo
John Mlyambate
25 followers
25 followers
About
Communities and Collections
Posts

Post has attachment
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO TAREHE 13/11/2018
Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania #Akaunti ya pamoja ya fedha kwa ajili ya miamala ya Muungano haijafunguliwa na kuanza kufanya kazi kwa kuwa majadiliano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu...
Add a comment...

Post has attachment
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO TAREHE 13/11/2018
Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania #Akaunti ya pamoja ya fedha kwa ajili ya miamala ya Muungano haijafunguliwa na kuanza kufanya kazi kwa kuwa majadiliano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu...
Add a comment...

Post has attachment
YALIYOJIRI WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT. HASSAN ABBASI AKITOA TAARIFA YA MAMBO MUHIMU YALIYOTEKELEZWA NA SERIKALI YA AWAMU TANO NDANI YA MIAKA MITATU*
* #Leo Novemba 5, 2018 ni miaka mitatu ya utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Tano; ni zaidi kidogo ya nusu ya muhula wa miaka mitano ya awali ambayo Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa madarakani. #Rais Dkt.John Magufuli anawashukuru Watanzania wote ambao wa...
Add a comment...

Post has attachment
Chalinze Eneo Ghafi Tanzania
Halmashauri ya Chalinze kwa Mkoa wa Pwani ni halmashauri
ghafi kwa maana kwamba ni kiini cha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya
maendeleo nchini inayotekelezwa kwa kasi.ninaposema ni halmashauri ghafi au
eneo ghafi ni eneo lenye madini mbalimbali ya ujenzi...
Chalinze Eneo Ghafi Tanzania
Chalinze Eneo Ghafi Tanzania
mlyambate.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Tunajuza umma wapi, nani, nini, kwa nini, lini na ilikuwaje?
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Tunahabarisha umma kwa kuzingatia sheria , taratibu na kanuni za nchi bila kuvunja katiba ya nchi
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Tunaelimisha umma kuhusu uchumi wa viwanda nchini ili kuunga mkono juhudi za serikali
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Tunaandika pia habari za kuelimisha umma katika nyanja za kilimona ufugaji
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Mmiliki wa Blog akitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari
Photo
Add a comment...

Post has attachment
Chajo ya kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi yazinduliwa rasmi Chalinze
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Alhaj Majid Mwanga amezindua
rasmi kampeni ya chanjo ya kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa watoto wa
kike waliofikia umri wa miaka 14,uzinduzi huo umefanyika jana katika kijiji cha
Kikaro kata ya Miono katika halmashauri ya w...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded