Profile cover photo
Profile photo
Bin RUWEHY
19 followers -
muandishi
muandishi

19 followers
About
Posts

Post has attachment
VIDEO: KIBA ATAJA ALICHOTAMANI KUKIFANYA JANA DHIDI YA MBEYA CITY MKWAKWANI TANGA
Msanii wa bongo fleva ambaye pia ni mchezaji wa Coastal Union jana Desemba 9, 2018 amecheza mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara tangu asajiliwe na timu hiyo msimu huu wa 2018/19. Kiba ametumia takribani dakika 64 akiwa sehemu ya mashambulizi...
Add a comment...

Post has attachment
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU, DESEMBA 10, 2018
Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Michezo Tanzania leo  Desemba 10 , 2018, Hapa unapata kurasa za mbele za magazeti zikionyesha habari kubwa zote za michezo.
Add a comment...

Post has attachment
TFF YAAMUA KUFICHUA SIRI YANGA, YAWATAJA VIRUSI WANAOHARIBU MCHAKATO WA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mchungahela, amewataja viongozi wawili Yanga ambao wanapinga klabu hiyo kufanya uchaguzi. Mchungahela ambaye amekuwa akiwasiliana na Yanga mara kwa mara kupitia TFF, amewataja watu ...
Add a comment...

Post has attachment
RASMI MOURINHO ATANGAZA MAAMUZI YAKE NDANI YA MANCHESTER UNITED
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema hana hofu kuhusu hatma yake ndani ya Old Trafford. Mourinho anaamini kuwa maafisa wa klabu yake wamewasiliana na aliyekuwa kocha zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane. Kocha huyo mwenye ambaye hapewi nafasi ...
Add a comment...

Post has attachment
ZIDANE, MOURINHO, SANCHEZ, RONALDO: TETESI KUBWA ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ana hofu kuhusu hatma yake huko Old Trafford na anaamini kuwa maafisa wa klabu wamewasiliana na meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane. (Sun) Lakini mchezaji huyo wa zamani kimataifa wa Ufaransa analenga ku...
Add a comment...

Post has attachment
VIDEO: KILICHOPELEKEA SIMBA WAKABANWA NA YANGA HIKI HAPA
Baada ya kumalizika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba Vs Yanga, uliopigwa Septemba 30, 2018, wakiongozwa na mtangazaji wa Azam TV, Patrick Nyembela, wachambuzi Ally Mayay na Dominick Salamba, waelezea udhaifu na ufanisi uliooneshwa na t...
Add a comment...

Post has attachment
RONALDO MATATANI KWA TUHUMA ZA KUBAKA
Mwanamke mmoja,  Kathryn Mayorga, amejitokeza na kusema mwanasoka, raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alimbaka mwaka 2009 katika hoteli moja jijini Las Vegas, Marekani. Baada ya tukio hilo mwanamke huyo akiri kupewa Dola za Marekani, $375,000 kama malipo ya k...
Add a comment...

Post has attachment
MANARA AMSHANGAA KOCHA YANGA, AELEZA HAYA
Na Haji Manara Mpira ni mchezo wa hadharani hauchezewi chumbani, sijaelewa Kocha aliposema walikuja kulinda huku akiruhusu Simba watengeneze nafasi. Kwa kadri nnavyofahamu unapocheza mpira wa kujilinda, hupaswi kuruhusu mpinzani wako kutengeneza nafasi na h...
Add a comment...

Post has attachment
SIMBA NA YANGA ZAINGIZA MPUNGA HUU TAIFA
Mchezo namba 72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) kati ya Simba na Young Africans uliochezwa Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi milioni 404,549,000. Mchezo huo ulioanza saa 11 jioni umeingiza jumla ya Watazamaji 50,168. Mg...
Add a comment...

Post has attachment
WACHEZAJI STARS WALIONGIA KAMBINI TAYARI KWA MAANDALIZI VS CAPE VERDE
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoiniga kambini kuanzia leo Oktoba 2018 kwa ajili maandalizi ya kuwania kufuzu AFCON 2018 dhidi ya Cape Verde. Aishi Manula (Simba) Salum Kimenya(Tz Prisons) Frank Domayo(Azam FC) Salum Kihimbwa(Mtibwa), Kelvin Sabato(Mtibwa) D...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded